Ingawaje sio kwamba naunga mkono hoja ya Mchangiaji kwa sababu I don't comment on gossips, lakini najiuliza tu ikiwa umekulia Tanzania na Afrika kwa ujumla au umezaliwa na kukulia Switzerland?!Hizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?