Je, Tuendelee Kuamini Ipo Siku Bakhresa Atarudi Simba SC?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,246
15,091
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.

Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.

Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.

Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.

Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.

Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.

Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.

Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?

Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?

Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?

Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?

Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.
 
Washindwe kuindesha azam.ya kwao waweze simba. Hembu muacheni dewj ndio tajiri aliye jitoa haswaa mpaka nkw tunaona matajiri wengine wanajikwamua kuwekeza kwenye mpira wa bongo.

Sema DEWJ anafanyiwa underrated afu hao wengine wanafanyiwa overrated. Hao kina bakhresa timu yao imeshiriki mara ngapi michuano ya nje lakn hawawezi kuisukuma ikasogea mbali zaidi. Ifike hatua watu tujue kushukuru kwa juhudi za dewj
 
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.

Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC...
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga...
Ila si Simba sc wamekamilisha transformation?

Kwanini hizo pesa 45Bilion asiende kununua Hisa?
 
Hizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?

Sidhani kama kuna shabiki mwenye akili zake Timamu angeweza kuacha za Bakhresa akapigia chapuo za Mo.

Nadhani ni story za vijiweni tu.

Kwasababu hakuna hata chombo cha habari kilicho riport taarifa ya bilioni 45.
 
Kabisa mkuu hata mimi nashangaa watu kujiongelesha hili swala. Mtu mwenye akili timamu yeyote asingeweza kukataa deal hilo la jamaa hata kama lingekua chini ya hiyo hela aliyoitaja.
 
Sisi mashabiki tuna imani na Mwekezaji wetu Dr. Mudi. Huyo Bakhressa wako hatumtaki.
 
Kabisa mkuu hata mimi nashangaa watu kujiongelesha hili swala. Mtu mwenye akili timamu yeyote asingeweza kukataa deal hilo la jamaa hata kama lingekua chini ya hiyo hela aliyoitaja.
Fitna tu za Utopolo. Kila siku kuanzisha nyuzi za Mo wakijifanya ni mashabiki wa Simba ili ionekane Kama Simba ndiyo wanaotoa hayo maneno.
Uzuri huku kuna watu wenye akili wanaoweza kupambanua ukweli na unafiki.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.
Ilikuwa billion 50 na uwanja juu
 
Mkulungwa sikuelewi ujue?hapa unamzungumizia mzee Bakhresa au Yusuph Bakheresa au Bakhresa Group of Company?Hebu tulia na ueleze kwa kituo,Ikiwa Huyu Yusuph hapa unamuita "dogo" maana yake ww ni mtu mzima kumshinda yy, sasa imekuaje unashindwa kufafanua jambo dogo kama hili, umepiga stori na Yusuph kuhus mipango yake au mipango ya baba ake au mipango ya kampuni?Hapa unaizungumzia Simba au Azam?
Unaweza mleta mada ni muandishi wa habari ujue!!!!!Nyoosha maelezo
 
Nakumbuka Sana hii propaganda alivyoifanya mo, Aliwapaga had pesa Simba , kuelekea kuichukua Simba akatishia akijitoa arudishiwe hela zake, Simba wakanywea ,had akaibeba Simba mazima, KUPITIA waandishi wa habari walimpamba Sana MO , huku Bakhresa akifunikwa aonekane si lolote
 
Hizo ni story za vijiweni tu, unahisi waliokuwepo kwenye mchakato wa hiyo tenda walikuwa wajinga waache B45 wakubali B20?
Mo alifanya propaganda alishika vyombo vya habari , alikuwa hakauki kwenye vipindi vya MICHEZO, uzuri mo , Sales and marketing anaijua

Hili sakata nililifatilia vzr Sana, kwa kipind kile hata angekuwepo mtu ana billions 100 bado asingepindua kwa Mo mwenye propaganda ya B20 hewa.

Kwanza alianzaga na style Kama anajitolea, akawasajiria Simba, akahudumia timu, n.k ,baadae walipotaka kumbana Akawaambia wamrudishie gharama zote, Nakumbuka Kuna dirisha moja alitoaga had Million 200 ,

Soma Hapa

MWISHO Simba walinywea wakaona wameshakula vya Mo , sharti wamuachie Timu

The rest is History
 
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.

Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.

Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.

Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.

Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.

Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.

Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.

Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?

Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?

Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?

Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?

Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.
Zile billion 40 alizowapa yanga udhamini ndio unaita bajeti finyu?

Kama kampuni inatoa udhamini tena mkubwa hivyo kwa club nyingine,na Simba waliikataa hiyo ,kwa nini ashindwe kuendesha Simba?
 
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.

Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.

Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.

Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.

Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.

Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.

Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.

Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?

Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?

Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?

Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?

Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.
Mo kashajimilikisha hisa asilimia 49 sioni nafasi ya Mzee Bakresa kupenya ikizingatiwa biashara zake zinashabihana na za Mudi, Mee yupo smart a ajua akiweza pale atazua migigoro na migongano isiyo na tija
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mzee Bakhressa alikuwa tayari kutaka kuichukua Simba SC tena kwa 45 Billion ila alichokifanya Mo Dewji ni Fitna kisha kuwahonga baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Wajumbe huku Waandishi wa Habari za Michezo nchini nao Wakihongwa ili wampigie Chapuo na kumpamba mno kwa Watu ili Kuaminika nao zaidi na kiukweli alifanikiwa ila Leo wana Simba SC wengi wenye Akili wanajuta kwani hiyo 20 Billion yake hawaijui kaiweka Benki gani kwani kote haionekani.

Simba ilikosea Sana. Billioni 20 alijilipa mwenyewe huo ndio ukweli. Baada ya kuwa anadai klabu billioni 25.
 
Mkulungwa sikuelewi ujue?hapa unamzungumizia mzee Bakhresa au Yusuph Bakheresa au Bakhresa Group of Company?Hebu tulia na ueleze kwa kituo,Ikiwa Huyu Yusuph hapa unamuita "dogo" maana yake ww ni mtu mzima kumshinda yy, sasa imekuaje unashindwa kufafanua jambo dogo kama hili, umepiga stori na Yusuph kuhus mipango yake au mipango ya baba ake au mipango ya kampuni?Hapa unaizungumzia Simba au Azam?
Unaweza mleta mada ni muandishi wa habari ujue!!!!!Nyoosha maelezo
Bora hata wee umeona hilo, mie hata sijamuelewa kabisaaa.
 
Jana kwenye tuzo za TFF nilipata nafasi ya kupiga stori na dogo Yusuph.

Huyu dogo, kama wengi mnavyo fahamu kuwa na mtoto wa shabiki wa zamani wa Simba SC.

Katika kupiga story mbili tatu nikagundua kuwa dogo ana matamanio sana ya kuisukuma Azam FC ifike mbali. Ila amekuwa akilalamika pakubwa kuhusu watendaji.

Aidha licha ya Kudai kuwa “Bakhressa Group Of Companies” ina bajeti finyu katika kuendesha klabu bado wanayo nafasi ya kutosha kushindana katika ligi.

Dogo akajaribu kunipa stori fupi ya mpango wake wa muda mrefu na muda mfupi wa klabu ya Azam FC.

Akadai kuwa amekuwa mbali sana na shughuli za uendeshaji wa klabu na hivi sasa amerudi kwenye usikani ili kisimamia kila jambo. Aidha amedai kuwa atahakikisha bajeti ya klabu inatanuliwa ili kuwa nanushindani sawia na simba na yanga.

Mona kati ya mipango yake ya muda mrefu ni kuhakikisha Azam FC anatwaa tajinla Ligi Kuu si chini ya mara 2 katika misimu 8 ijayo.

Maswali ya kujiuliza:
Kumekuwa na mijadara humu jukwaani kuwa Mo aiache Simba ili apewe Bakhressa. Mnauhakika Dogo Yusuph ana mpango huo wa kuidhamini Simba?

Je hata kama Mzee Bakhresa mwenyewe ni shabiki wa Simba. Je kipi kimebadilika ambacho kilimfanya aachane na kuifadhili Simba na aanzishe Klabu yake?

Je, akirudi Simba Incase ikiwezekana (ila sote tunajua uwezekano ni finyu sana)..vipi kuhusu mustakabali wa klabu yake Azam FC?

Kwamba anaweza kudivert rasilimali pesa kwenye klabu 2 tofauti na zote zikafanya vizuri?

Je, Bakhresa atakuwa tayari kutanua bajeti kwa ajili ya soka mara mbili zaidi ya sasa? Titambue kuwa alipunguza bajeti hata ikashindikana kuwabakiza wakina Bocco na Manula.
Kwani kwenye zile Tuzo, wanawake waliruhisiwa kukaa karibu kabisa na wanaume? Na kama ndio, story pia zilikuwepo za kutosha?
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom