Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,348
Nipo humu mpaka kiama changu kujua Siri za kwanini tupo duniani na Kuna nguvu gani ilituleta duniani na tupo ili tu knowledge Mambo yanayo husu nini?
Mkubwa umetuacha na simanz kubwaHivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..
Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake.
View attachment 851315
Je! juhudi zinazofanywa na NASA pamoja na Rusia kuhusu movement za kuanza kutafuta Alternative ya kuanza movement ya kwenda sayari zingine katika mfumo wa galaxy zingine ,huenda wameliona hilo mapema..
Pengine tunashindwa kujua kwanini wanatumia Matrilion ya dola kufanya au kutafuta njia ya kwenda Galaxy zingine kumbe ni pamoja na hilo..!!
Inaweza kuwa kweli..??
Tazama video hapo chini juu ya namna zitakavyogongana hizi galaxy mbili,,,
Ngoja tuendelee kusubiri pengine yanafurahisha....
CC
Da vincci Mgambilwa ni mntu Malcom Lumumba zitto junior Wick
na wenigine members,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lifecoded mi nataka nipingane nawe kuwa NASA na Russia wanafanya tafiti ili sisi binadamu tukaishi kwenye galaxies zingine. Kiufupi haiwezekani abadan
Umbali uliokuwepo kati ya Milkway galaxy na Andromeda galaxy ni 2.5 Millions light years na zinakaribiana kwa speed ya 402,000km per hour na kuja kukutana ni kama hapo ulivyosema baada ya miaka 4Billions. Nyota na nyota ambazo zote zinapatikana katika galaxy moja ambayo ni Milkway galaxy ni zaidi ya light years 100,000. Ninapoongelea light years nadhani unaelewa
Acha the distance from one star to another star in the same galaxy, tuje katika solar system yetu. Sayari ambayo ipo karibu na sayari yetu ambayo so far tunaifanyia uchunguzi kama ni earth like supporting life planet ni Mars ambayo inakuwa karibu na dunia ikiwa at its closest distance to the sun nasi dunia ikiwa at its furthest distance from the sun kwa gap la 60,000 years au kwa lugha raisi niseme 55,757,930 Km.
Tukisema tutumie the fastest spacecraft kwa teknolojia ya sasa ambacho kilirushwa kwenye mission ya NASA new horizon mission kwenda Pluto mwaka 2015, kitachukua miezi 9 kufika Mars ikiwa tu sayari dunia na sayari Mars zikiwa at constant lined up distance.
Na so far mpaka sasa hakuna binadamu ambaye ameshawahi kufika kwenye sayari nyingine zaidi ya vyombo tu kutumwa. Nimejitajidi kufupisha ili wote tupate mwanga kidogo
Namkaribisha Monstgala
Sent using Jamii Forums mobile app
just curiosity! hakuna cha ziadaDuh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
Wormhole bado ni assumption tu kaka, bado tuna safari ndefu sanamkuu ni kweli lakini vipi kuhusu Wormhole travelling ,??
Haitakuwa njia rahisi kwa hilo jambo??
kama kweli watafanikiwa kupata huo uwezo...huoni kuwa itakuwa simplest way ya kufika huko..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio miaka bilioni kadhaa sie wote tutakuwa tushageuka petroli na dizeli tunatumika kwenye ma dreamliners ya karne hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaDuuu....sijui watu wanajulia wapi haya mambo...nakisema kuna watu ambao labda hawalali na hawasumbuliwi na usingizi nitakuwa nimekosea...yaani mtu uangaike na maisha halafu upate muda wa kuchimbua mambo mengi kiasi hiki inawezekana kweli. Kwa nchi za wangine inawezekana maana serikali zao amshirika zinawekeza katika tafiti kiasi kwamba mtu anayefanya tafiti anapewa kila anachotaka yeye kazi yake inabaki ni kutafiti tu...yaani hawazi mtoto atakula nn atavaa nn au atalipaje ada ya shule...Sasa kwa nchi kama Tz hata kama umezaliwa familia bora sidhani kama mdingi anaweza kukuruhusu kazi yako iwe ni kuchimbua tu bila kuzalisha chochote...ina maana hata Demu wa kukupotezea muda huna...hapana aisee
Imagine. .naana panda magari. Ndege.kama kawalakini unatumia smartphone??
Unaweza uondoke na bado hujajua, but that's not too bad kwakua hauko pekeako.Nipo humu mpaka kiama changu kujua Siri za kwanini tupo duniani na Kuna nguvu gani ilituleta duniani na tupo ili tu knowledge Mambo yanayo husu nini?
Uwezekano unaangaliwa kabla na si baada ya kuangalia madhara, uwezekano wa kuishi MARS, TITAN,IO, n.k. umeangaliwa kabla na si baadaDuh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
Kama unaona mambo ya kufikirika, tambaa.hizi hadithi za kufikirika hizi, sayansi haijamuacha mtu salama
Mlikataa uchawi mnaletewa uchawimkuu binadamu kama binadamu ni ngumu kupita kwa speed kubwa zaidi ya mwanga katika anga la steller kwa sababu yeye ni matter object ila kifaa kama kifaaa kinapita..
hatumanishi zile wormhole zitakuwa ni vifaaa kama ndege au space ship kama tunavodhani..hapana..
Wormhole ni concentric shaped magnetic field surounded by exotic( Anti matter) particles ambazo zitakuwq zinaspin with maximum force na kufanya zimove kwa speed kubwa saana..
kwa hiyo kitu chochote kitakachowekwa katikati ya fields hizo kitabebwa bila kujijua na kufikiswa sehemu husika kikiwa unconcious or concious state..
ni speed kubwa sana but wanajua wao jinsi gani ubongo wako wataufanya usiwe aware na tukio hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wormholes they are very small smaller than plank constantmkuu,unataka kunambia travelling through wormhole itaaffect state ya kiumbe akiwa ndani ya wormhole??
Sent using Jamii Forums mobile app
Read about white holes, anything can get out but not enteringlakini pia mkuu ni kwamba speed ya wormhole ni sawa sawa na speed ya object( matter) in black holes..
Ndo mana wataalamu wanasema kuwa blackholes sometimes are wormholes bila sisi kujua...
manake nini..
speed ya matter kwenye black holes ni unmeasurable...
kama speed kwenye black holes ni kubwa kuzidi hata speed ya mwanga ,
kwa hiyo through wormhole nadhani itakuwa poa snaa
Sent using Jamii Forums mobile app