Je, tuanze safari kwenda Galaxy zingine kimakazi zaidi..?

Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..

Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake.
View attachment 851315
Je! juhudi zinazofanywa na NASA pamoja na Rusia kuhusu movement za kuanza kutafuta Alternative ya kuanza movement ya kwenda sayari zingine katika mfumo wa galaxy zingine ,huenda wameliona hilo mapema..

Pengine tunashindwa kujua kwanini wanatumia Matrilion ya dola kufanya au kutafuta njia ya kwenda Galaxy zingine kumbe ni pamoja na hilo..!!

Inaweza kuwa kweli..??

Tazama video hapo chini juu ya namna zitakavyogongana hizi galaxy mbili,,,




Ngoja tuendelee kusubiri pengine yanafurahisha....

CC
Da vincci Mgambilwa ni mntu Malcom Lumumba zitto junior Wick
na wenigine members,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkubwa umetuacha na simanz kubwa
 
Mkuu lifecoded mi nataka nipingane nawe kuwa NASA na Russia wanafanya tafiti ili sisi binadamu tukaishi kwenye galaxies zingine. Kiufupi haiwezekani abadan
Umbali uliokuwepo kati ya Milkway galaxy na Andromeda galaxy ni 2.5 Millions light years na zinakaribiana kwa speed ya 402,000km per hour na kuja kukutana ni kama hapo ulivyosema baada ya miaka 4Billions. Nyota na nyota ambazo zote zinapatikana katika galaxy moja ambayo ni Milkway galaxy ni zaidi ya light years 100,000. Ninapoongelea light years nadhani unaelewa
Acha the distance from one star to another star in the same galaxy, tuje katika solar system yetu. Sayari ambayo ipo karibu na sayari yetu ambayo so far tunaifanyia uchunguzi kama ni earth like supporting life planet ni Mars ambayo inakuwa karibu na dunia ikiwa at its closest distance to the sun nasi dunia ikiwa at its furthest distance from the sun kwa gap la 60,000 years au kwa lugha raisi niseme 55,757,930 Km.
Tukisema tutumie the fastest spacecraft kwa teknolojia ya sasa ambacho kilirushwa kwenye mission ya NASA new horizon mission kwenda Pluto mwaka 2015, kitachukua miezi 9 kufika Mars ikiwa tu sayari dunia na sayari Mars zikiwa at constant lined up distance.
Na so far mpaka sasa hakuna binadamu ambaye ameshawahi kufika kwenye sayari nyingine zaidi ya vyombo tu kutumwa. Nimejitajidi kufupisha ili wote tupate mwanga kidogo
Namkaribisha Monstgala

Sent using Jamii Forums mobile app


New Horizon tayari ilishafika kwenye Pluto tangu mwaka 2015
 
Duh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
just curiosity! hakuna cha ziada
 
Duuu....sijui watu wanajulia wapi haya mambo...nakisema kuna watu ambao labda hawalali na hawasumbuliwi na usingizi nitakuwa nimekosea...yaani mtu uangaike na maisha halafu upate muda wa kuchimbua mambo mengi kiasi hiki inawezekana kweli. Kwa nchi za wangine inawezekana maana serikali zao amshirika zinawekeza katika tafiti kiasi kwamba mtu anayefanya tafiti anapewa kila anachotaka yeye kazi yake inabaki ni kutafiti tu...yaani hawazi mtoto atakula nn atavaa nn au atalipaje ada ya shule...Sasa kwa nchi kama Tz hata kama umezaliwa familia bora sidhani kama mdingi anaweza kukuruhusu kazi yako iwe ni kuchimbua tu bila kuzalisha chochote...ina maana hata Demu wa kukupotezea muda huna...hapana aisee
Hahaha
 
Nipo humu mpaka kiama changu kujua Siri za kwanini tupo duniani na Kuna nguvu gani ilituleta duniani na tupo ili tu knowledge Mambo yanayo husu nini?
Unaweza uondoke na bado hujajua, but that's not too bad kwakua hauko pekeako.
Manguli wa sayansi, falsafa, dini na werevu mbalimbali waliondoka bila kujua nn kusudi la uwepo wetu hapa duniani.
Maisha ni jinsi vile unavyo yafanya au unavyo yapatia maana ww.
ikiwa ww unaamini purpose ya uwepo wako ni kusaidia watu basi saidia sana, ikiwa unaamini ww ulikuja kusaidia sayansi na teknolojia iende mbele basi fanya hivyo, ikiwa unaamini purpose ya uwepo wako ni kutafuta maana ya uwepo wako basi tafuta hadi mwisho.
Fanya kitu unaamini kuwa ndiyo purpose yako na tena fanya hicho kitu katika ubora na ukamilifu wa hali ya juu sana
 
Duh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
Uwezekano unaangaliwa kabla na si baada ya kuangalia madhara, uwezekano wa kuishi MARS, TITAN,IO, n.k. umeangaliwa kabla na si baada
 
hizi hadithi za kufikirika hizi, sayansi haijamuacha mtu salama
Kama unaona mambo ya kufikirika, tambaa.
Siyo kila uzi umwage uharo wako.
Sayansi ni njia moja kati ya njia bora kabisa ambazo zimemsaidia mwanadamu kuelewa mazingira yake na kuweza kuepukana na shida, taaab, majanga na misukosuko mbalimbali.
 
Hawa wanasayansi na hizi habari zao za uchokonozi wa hii dunia kuna siku moto utawawakia
 
mkuu binadamu kama binadamu ni ngumu kupita kwa speed kubwa zaidi ya mwanga katika anga la steller kwa sababu yeye ni matter object ila kifaa kama kifaaa kinapita..

hatumanishi zile wormhole zitakuwa ni vifaaa kama ndege au space ship kama tunavodhani..hapana..

Wormhole ni concentric shaped magnetic field surounded by exotic( Anti matter) particles ambazo zitakuwq zinaspin with maximum force na kufanya zimove kwa speed kubwa saana..

kwa hiyo kitu chochote kitakachowekwa katikati ya fields hizo kitabebwa bila kujijua na kufikiswa sehemu husika kikiwa unconcious or concious state..

ni speed kubwa sana but wanajua wao jinsi gani ubongo wako wataufanya usiwe aware na tukio hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikataa uchawi mnaletewa uchawi

Si tungeendelea na wetu tu
 
lakini pia mkuu ni kwamba speed ya wormhole ni sawa sawa na speed ya object( matter) in black holes..

Ndo mana wataalamu wanasema kuwa blackholes sometimes are wormholes bila sisi kujua...

manake nini..

speed ya matter kwenye black holes ni unmeasurable...

kama speed kwenye black holes ni kubwa kuzidi hata speed ya mwanga ,

kwa hiyo through wormhole nadhani itakuwa poa snaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Read about white holes, anything can get out but not entering
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom