lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..
Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake.
Je! juhudi zinazofanywa na NASA pamoja na Rusia kuhusu movement za kuanza kutafuta Alternative ya kuanza movement ya kwenda sayari zingine katika mfumo wa galaxy zingine ,huenda wameliona hilo mapema..
Pengine tunashindwa kujua kwanini wanatumia Matrilion ya dola kufanya au kutafuta njia ya kwenda Galaxy zingine kumbe ni pamoja na hilo..!!
Inaweza kuwa kweli..??
Tazama video hapo chini juu ya namna zitakavyogongana hizi galaxy mbili,,,
Ngoja tuendelee kusubiri pengine yanafurahisha....
CC
Da vincci Mgambilwa ni mntu Malcom Lumumba zitto junior Wick
na wenigine members,,
Sent using Jamii Forums mobile app