Je, tuanze safari kwenda Galaxy zingine kimakazi zaidi..?

lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,424
4,325
Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..

Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake.
Do%20you%20know_%20-%20f4f%20%20-%20l4like%20.%20.%20.%20-%20Amazing%20-%20Educational%20-%20F...jpg

Je! juhudi zinazofanywa na NASA pamoja na Rusia kuhusu movement za kuanza kutafuta Alternative ya kuanza movement ya kwenda sayari zingine katika mfumo wa galaxy zingine ,huenda wameliona hilo mapema..

Pengine tunashindwa kujua kwanini wanatumia Matrilion ya dola kufanya au kutafuta njia ya kwenda Galaxy zingine kumbe ni pamoja na hilo..!!

Inaweza kuwa kweli..??

Tazama video hapo chini juu ya namna zitakavyogongana hizi galaxy mbili,,,

Ngoja tuendelee kusubiri pengine yanafurahisha....

CC
Da vincci Mgambilwa ni mntu Malcom Lumumba zitto junior Wick
na wenigine members,,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndo itakavyokuwa baada na miaka ya mbeleni huko kuhusiana na Milky way galaxy yetu na Andromeda galaxy kuhusiana na mgongano unaotajwa kuja kutokea ..

Galaxy hizi mbili hazitakuwa na mfumo mmoja tena ( constellation) uliokuwepo hivyo kushindwa kusapoti tena maisha kwa viumbe wake.
View attachment 851315
Je! juhudi zinazofanywa na NASA pamoja na Rusia kuhusu movement za kuanza kutafuta Alternative ya kuanza movement ya kwenda sayari zingine katika mfumo wa galaxy zingine ,huenda wameliona hilo mapema..

Pengine tunashindwa kujua kwanini wanatumia Matrilion ya dola kufanya au kutafuta njia ya kwenda Galaxy zingine kumbe ni pamoja na hilo..!!

Inaweza kuwa kweli..??

Tazama video hapo chini juu ya namna zitakavyogongana hizi galaxy mbili,,,

Ngoja tuendelee kusubiri pengine yanafurahisha....

CC
Da vincci Mgambilwa ni mntu Malcom Lumumba zitto junior Wick
na wenigine members,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lifecoded mi nataka nipingane nawe kuwa NASA na Russia wanafanya tafiti ili sisi binadamu tukaishi kwenye galaxies zingine. Kiufupi haiwezekani abadan
Umbali uliokuwepo kati ya Milkway galaxy na Andromeda galaxy ni 2.5 Millions light years na zinakaribiana kwa speed ya 402,000km per hour na kuja kukutana ni kama hapo ulivyosema baada ya miaka 4Billions. Nyota na nyota ambazo zote zinapatikana katika galaxy moja ambayo ni Milkway galaxy ni zaidi ya light years 100,000. Ninapoongelea light years nadhani unaelewa
Acha the distance from one star to another star in the same galaxy, tuje katika solar system yetu. Sayari ambayo ipo karibu na sayari yetu ambayo so far tunaifanyia uchunguzi kama ni earth like supporting life planet ni Mars ambayo inakuwa karibu na dunia ikiwa at its closest distance to the sun nasi dunia ikiwa at its furthest distance from the sun kwa gap la 60,000 years au kwa lugha raisi niseme 55,757,930 Km.
Tukisema tutumie the fastest spacecraft kwa teknolojia ya sasa ambacho kilirushwa kwenye mission ya NASA new horizon mission kwenda Pluto mwaka 2015, kitachukua miezi 9 kufika Mars ikiwa tu sayari dunia na sayari Mars zikiwa at constant lined up distance.
Na so far mpaka sasa hakuna binadamu ambaye ameshawahi kufika kwenye sayari nyingine zaidi ya vyombo tu kutumwa. Nimejitajidi kufupisha ili wote tupate mwanga kidogo
Namkaribisha Monstgala

mkuu ni kweli lakini vipi kuhusu Wormhole travelling ,??

Haitakuwa njia rahisi kwa hilo jambo??

kama kweli watafanikiwa kupata huo uwezo...huoni kuwa itakuwa simplest way ya kufika huko..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kila kitu kinafanywa kwa dhumuni maalum
Maana mtu hawezi kuanza kufanya utafiti kwenye sayari nyngine ili kujua km kuna uwezekano wa kuishi binadam km hajajua kwamba kuna madhara yanaweza kutokea
Labda.....
Tusubiri tuone!!!
Hizi tafiti zote zinazifanyika huko ISS ni kwaajili ya kuhakikisha sayari yetu dunia isikumbwe na majanga na kama kutakuwa na threat yoyote kwa sayari yetu nini kifanyike ili kuiepusha na hiyo threat lakini si kwaajili ya kwenda kuishi.
Hii itawezekana pale yatakapofanyika mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwakutengeneza vyombo ambavyo vitakuwa na speed kama ya mwanga au zaidi ambavyo vitakuwa na uwezo wa kubeba binadamu. Sasa fikiria tu kikawaida mwanga una speed ya 299,792km kwa sekunde, he binadamu atasafiri kwa speed hiyo akiwa kwenye state gani? Kwa mwili huu wa nyama?
Yajayo yanafurahisha

mkuu,unataka kunambia travelling through wormhole itaaffect state ya kiumbe akiwa ndani ya wormhole??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ni kweli lakini vipi kuhusu Wormhole travelling ,??

Haitakuwa njia rahisi kwa hilo jambo??

kama kweli watafanikiwa kupata huo uwezo...huoni kuwa itakuwa simplest way ya kufika huko..??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimelipenda swali lako mkuu. Kwanza wormholes travelling ni scientific fiction na ipo kinadharia sana kwasababu haifuati law of physics. Hii science itaishia katika movie industry to na kama nawe ni sci-fi fan utaifurahia kwasababu inakufanya usafiri kutoka galaxy moja mpaka nyingine na kuzijua kona zote za universe. So itabaki kwenye movie making tu

lakini mkuu mbona nasikia kuwa kituo cha kimataifa cha taarifa za Anga za juu cha Galactic kilivujisha taarifa juu ya technolojia hiyo kuwa ipo tayari kuanzia muda wowote wanaiachia but itaoperate in secret ways...??

Screenshot_20180831-144431.jpg
Screenshot_20180831-144522.jpg

halafu mkuu naomba nikukanushe kidgo hapo uliposema kuwa Wormhole inaviolete Physics rules..

ni hivi ,sio kila principle za physics zinakuwa applicable..

Newtonian laws zinaprove wrong baadhi ya classical laws..

lakini bado Einstein's laws za relativity zina kasoro kubwa tu ndani yake..

ndo mana modern calculation imehusisha baadhi ya kuongeza collection factor kwenye formulae zao..

Kwa hiyo ukisema kuwa wormhole ni sci-fi naweza kataa lakini pia nakubali kwa sababu ya hidden facts za ukweli wenyewe...

kumbuka the real life being lived by people ni product ya sci-fi za miaka ya nyuma..

Everything is simulation..

kama unaamini ww live in simulation basi hata wormhole inawezekana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu,unataka kunambia travelling through wormhole itaaffect state ya kiumbe akiwa ndani ya wormhole??

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uwe katika state nyingine na si hii ya kimwili. Wormholes ni tunnels za kufikirika tu kichwani katika ulimwengu wa sayansi ya usafiri kati ya vitu vilivyo mbali sana mfano galaxies in the universe.
Labda tukiingia kwenye imani nyingine ambayo wanasema wachawi au majini wanasafiri kwa kitendo cha kufumba na kufumbua macho yupo Ulaya/ Marekani toka Afrika haha

broo ili wormhole ziweze kufunguka na kuwa open,ww need some exotic matters to open them..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom