Je, TRA ya Iringa, huu ni uungwana?

Je, TRA ya Iringa, huu ni uungwana?

mpendachake

Member
Joined
Feb 26, 2015
Posts
17
Reaction score
3
Poleni wanajamvi kwa shughuli naomba kuuliza hivi ubadilishwaji wa plate number za pikipiki, bajaj na maguta kuambiwa elfu 10 kama unaumiliki halali na card afu usumbufu na urasimu mwingi hadi itakucost 60000/ na kama unabadili jina na number mpya ndo balaaaa 150000 au zaidi je huku ndo kuwajali wananchi na serikali ya CCM mnaliona!! Au ndo mnatuzuga eti ni elfu 10000 tu naomba kuwasilisha kwetu
 
Si hilo tu ukikamilisha usajili mpya gharama ya kibao au plate yenye number wao hawahusiki wakidai wapo mawakala na ni kwa gharama yako ambayo ni 25000 hadi 20000
 
Back
Top Bottom