Je tabia hii hufanywa binaadamu tu au viumbe wote??

adna yuzo

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
1,038
2,000
habari wakuu!

naomba kuuliza je tabia ya kukoroma hufanywa kwa viumbe kama binadamu.konokono tu au kuna viumbe wengine wanafanya hivi??

nauliza ili nijifunze tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom