Are you saying ... he is one of them?
ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
ABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
No sir,i said my mind is playing tricks on meAre you saying ... he is one of them?
Word,infact tumekwama kwenye tope wote...yani njiapandaKwanza tumkwamue mwanakondoo aliyenasa kwenye tope,mengine baadae
Haya Harakati njema....Kufanya harakati na Mwanakijiji anayeunga mkono Sera za Giningi ni wendawazimu
NB; [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] Max Melo#
My mind is playing tricks on me..may be,why do i have this gut feeling when it comes to Mwanakijiji???!..may be again my mind is playing tricks on me.
.Kama ni kunuka wacha kinuke, maana hii ni sawa na mwanao kulawitiwa afu unaambiwa piga kimya usimseme mlawiti utamwaibisha utamvunjia heshima, nasema let the universe knows the way things goes in Tanzania
Kwa pamoja tutashinda.. Si mara ya kwanza watawala kutaka kutufunga midomo, kitu wasichoelewa ni kuwa katika ulimwegu huu wa sasa huwezi kuwafunga watu wote na kwa muda wote midomo.
Walianza na wapinzani, wakaja kwenye Bungelive, wakaenda kwenye vyombo vya habari, wakayafungia magazeti sasa wanataka kuchukua hata hiki kitu kidogo tulichobaki nacho? (yaani mtu kutoa mawazo yake bila kumuogopa mtu yeyote).
Kuwaacha watawala wafanye watalao kana kwamba sisi ni watoto wadogo nini kosa ambalo halitakiwa kufanywa na kizazi hiki ni lazima watanzania bila kujali itikadi zetu tuchore mstari, tuwambie watawala mpaka hapa basi, tumewachangua kwa ajili ya kutuongoza si kwa ajili ya kutupangia cha kusema.
Na kwa hili tutafanikiwa ikiwa sotekwa pamoja tutashikamana na kupigania haki yetu.
Hii imekaa njema sana
Ndege zitabeba watalii wa ndani, kama tembo na faru watakuwa hawajamalizwa.Sasa hizo ndege za watalii zinaenda kubeba watalii wa namna gani
Huenda kwa Tragedy hii unaweza kufanikiwa kurudisha japo heshima kiasi which you decided urself to betray it.
Kama nilivyoahidi; waasisi na wadau wa JF tuna maamuzi ambayo tutayafanya ili kulinda uwepo na uthabiti wa JF. Wakaopoteza ni wale wanaofikiri wamepata.
Washington post, New York times piaABC news na Fox news za Marekani wamereport habari hii katika namna ambayo inatujengea taswira mbaya!
Watalii tutawasikia kwenye bomba,mtalii gani atakayesikia habari hiyo halafu aje?Si ataona nchi ni ya kidikteta
Sijui madreamliner yao yataenda kupakia nani?
m