Je, shughuli yako ulitumia bei gani?

Je, shughuli yako ulitumia bei gani?

Shughuri Ndio Kitu Gani...???Shughuli Ifanye Bei Rahisi Tu...Kama Vifaa Vya Kielekitroniksi...
###WALIMWENGU HAWARIDHIKI####
 
Assalamualaikum ndugu yangu
Natarajia kufunga ndoa ya kislamu mwezi 5 inshallah wenye uzoefu gharama zake zipoje nipo dar es salaam pia kama unauza Michele jumla nikupe tenda ,
Je shughuri Yako ulitumia gharama bei Gani ?
Fanya shughuri yako kulingana na bajeti yako na uipange iwe unavyotaka wewe!
 
Kikeni ndiko kwenye pilika nyingi, but kama inategemea nanyi wenyewe! Jana nilikuwa sehemu kuna rafiki yangu akawa ananisimulia kuwa alikuwa kwenye kikao cha ndoa, bajeti imepangwa 10 milion! Ajabu ata familia inayooa hakuna ata mtu mmoja anamiliki pikipiki! Anashangaa hiyo milion 10 itatoka wapi! Akaendelea kunisimulia kuwa kakayake alishaoa huko nyuma ila bajeti ilikuwa Milion 3 ijapokuwa waliipata kwa manati!
 
Assalamualaikum ndugu yangu
Natarajia kufunga ndoa ya kislamu mwezi 5 inshallah wenye uzoefu gharama zake zipoje nipo dar es salaam pia kama unauza Michele jumla nikupe tenda ,
Je shughuri Yako ulitumia gharama bei Gani ?
Mwezi wa tano mbona mbali hivyo shekh wangu vuta jiko kabla ya ramadhani, we tafuta shekh, ngano kilo 15 na sukari, ndoa imeisha.
Au nasema uongo Harmful 😁
 
Mwezi wa tano mbona mbali hivyo shekh wangu vuta jiko kabla ya ramadhani, we tafuta shekh, ngano kilo 15 na sukari, ndoa imeisha.
Au nasema uongo Harmful 😁
Hataki kupikiwa iftari huyo anataka kula futari za mama ntilie 😅

Halafu mwambie wapiga madufu tupo 🥁
 
Back
Top Bottom