Je, shughuli yako ulitumia bei gani?

Je, shughuli yako ulitumia bei gani?

sherehe iendane na kipato, nb: sherehe ni siku moja
 
Fanya shughuli kulingana na bajeti yako wewe haya maswala ya kusumbua watu na michango utachukia ulimwengu panga unahitaji nini na nini weka vitu vya muhimu basi haya mengine mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom