shisha ni nzuri sana, haina madhara, sio sawa na sigara, sema usiwe una share na mtu pipe ya kuvutia
siku hizi hatuulizi...
unaGOOGLE meeen!
shisha ni nzuri sana, haina madhara, sio sawa na sigara, sema usiwe una share na mtu pipe ya kuvutia
Lugha imekua!...mimi mwenyewe niko tayari kuchekwa, Tafadhali tuambiwe ni nini!
nimekuchezea kitu gani.....we niambie kama unanipeleka au hunipeleki.....