Je sheria ya kumfanya Msajili wa Vyama kuwa na uamuzi wa Mwisho ni Halali? na ina nia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je sheria ya kumfanya Msajili wa Vyama kuwa na uamuzi wa Mwisho ni Halali? na ina nia

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by August, Jun 16, 2010.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Wadau naomba tuangalie sheria ya kumrushusu Msajili wa Vyama kuwa ndio msemaji wa Mwisho kuhusu Usajili wa Vyama, kama ilivyo elezwa na Mwanakijiji katika thread ya CCJ yaandika barua kwa Mabalozi.
  Sasa kwa uelewa wangu kitu chochote kinacho husu haki na sheria mwamuzi wa mwisho anatakiwa kuwa ni Mahakama ya Rufani.
  Pili sheria inatakiwa kuangalia kwamba nia ya sheria ni nzuri au mbaya, yaani ipo pale kukuza ufanisi na demokrasia au ipo katika kudumaza Demokrasia na Ufanisi.
  Tatu kitu chochote kile kinacho husu haki na utawala bora kinatakiwa kuwa na mfumo ambao unakuza uangalizi wa utendaji wa haki na ikikiukwa basi mkosa lazima aazibiwe ile asiwe na hisia ya kumtendea mtu kinyume cha sheria. (i.e check and balance) je sheria zetu za uchaguzi na za usajili ya vyama vina kidhi haja hizi au kuelekea huko?
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jun 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  ofisi ya msajili mwisho wake ni kesho.. ndio maana anajitutumua..
   
Loading...