Uzoefu unaonyesha kwamba,shahada hii imetumika katika chaguzi nyingi zilizopita.View attachment 38168
Mchango wenu waungwana.
Mkuu nilichomaanisha kuwa toa hoja za kueleweka katika hili jukwaa, sasa unakuja na mizaha na vitu ambavyo vinaonyesha upeo mdogo sana. Hili ni jukwaa la great thinkers. Anakupita hata ritz na mwita kwa kujenga hoja. Mbona mambo ni mengi ya msingi ya kujadili hapa na wala siyo kuleta picha uliyofanyia kazi katika photoshop. Kuna cheque zilizokosewa zimewekwa hapa, sasa hii unayoweka wewe ni sahihi?Kumbe wenyewe wahusika wakuu imewagusa...yumkini ndo vibaraka wakuu mnaotumwa! Haya;endeleeni kupitapita humu kwenye familia huenda mkaponywa!Watoto wa familia hii! Wengine si rizki ni mapomole! Hawajui tulipotoka,tulipo na tunapoelekea.
Yako siyo katuni, ni picha halisi ambayo umeifanyia editing kwa kubadilisha content nzima. Jaribu kutofautisha picha za katuni na za kawaida. Najaribu kukuelimisha zaidi, usiufanye moyo wako mugumu dungu yangu.Kama katuni zinazoonekana kama mzaha hupeleka ujumbe halisi si zaidi sana hii! kama great thinker hujapata ujumbe hapo?.
Kubadili maadishi yaliyosahihi na kuyaweka kwenye umma ni ufisadi tu.
Ukiaambiwa unatumia masaburi kufikiria, sijui utakasirika? Nawe unajisifu
kwamba leo tarehe 1.10.2011 umeanzisha thread jamii forumn. Kichwa maji wewe.
Kuhusu picha za Avater, yeyote ukiona ujue kuna kitu fulani kinachomvutia mwenyewe kwa malengo na hisia zake. Jiulize kuna picha ngapi ambazo naweza kuzipata na kuzitundika hapa e.g. wanyama, denge, mimea, watu maarufu, n.k. Lakini nimechangua hii, kuna kitu naamini katika picha hii. Vivyo hivyo na kwa wengine. Nitaendelea kutoa elimu ya bure kwako kwani ndo faida za kuingia jukwaa la great thinkers ukiwa kilaza.