Elections 2010 Je;shahada hii kutumika igunga?

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Uzoefu unaonyesha kwamba,shahada hii imetumika katika chaguzi nyingi zilizopita. securedownload[1].jpg
Mchango wenu waungwana.
 
Uzoefu unaonyesha kwamba,shahada hii imetumika katika chaguzi nyingi zilizopita.View attachment 38168
Mchango wenu waungwana.

Kubadili maadishi yaliyosahihi na kuyaweka kwenye umma ni ufisadi tu.
Ukiaambiwa unatumia masaburi kufikiria, sijui utakasirika? Nawe unajisifu
kwamba leo tarehe 1.10.2011 umeanzisha thread jamii forumn. Kichwa maji wewe.
 
Kumbe wenyewe wahusika wakuu imewagusa...yumkini ndo vibaraka wakuu mnaotumwa! Haya;endeleeni kupitapita humu kwenye familia huenda mkaponywa!Watoto wa familia hii! Wengine si rizki ni mapomole! Hawajui tulipotoka,tulipo na tunapoelekea.
 
Mkuu nilichomaanisha kuwa toa hoja za kueleweka katika hili jukwaa, sasa unakuja na mizaha na vitu ambavyo vinaonyesha upeo mdogo sana. Hili ni jukwaa la great thinkers. Anakupita hata ritz na mwita kwa kujenga hoja. Mbona mambo ni mengi ya msingi ya kujadili hapa na wala siyo kuleta picha uliyofanyia kazi katika photoshop. Kuna cheque zilizokosewa zimewekwa hapa, sasa hii unayoweka wewe ni sahihi?
 
Kama katuni zinazoonekana kama mzaha hupeleka ujumbe halisi si zaidi sana hii! kama great thinker hujapata ujumbe hapo?.
 
So niamini Avater yako inamaanisha ulivyo? JF Senior Ex
 
Kama katuni zinazoonekana kama mzaha hupeleka ujumbe halisi si zaidi sana hii! kama great thinker hujapata ujumbe hapo?.
Yako siyo katuni, ni picha halisi ambayo umeifanyia editing kwa kubadilisha content nzima. Jaribu kutofautisha picha za katuni na za kawaida. Najaribu kukuelimisha zaidi, usiufanye moyo wako mugumu dungu yangu.
 
So niamini Avater yako inamaanisha ulivyo? JF Senior Ex

Kuhusu picha za Avater, yeyote ukiona ujue kuna kitu fulani kinachomvutia mwenyewe kwa malengo na hisia zake. Jiulize kuna picha ngapi ambazo naweza kuzipata na kuzitundika hapa e.g. wanyama, denge, mimea, watu maarufu, n.k. Lakini nimechangua hii, kuna kitu naamini katika picha hii. Vivyo hivyo na kwa wengine. Nitaendelea kutoa elimu ya bure kwako kwani ndo faida za kuingia jukwaa la great thinkers ukiwa kilaza.
 
hahahahahahaaaaaaaaa! mkuu umekosea tu kiswahili ktk maandishi ya hyo shahada, otherwise very funny thread. mweeeeeeeeeeee!
 
Kubadili maadishi yaliyosahihi na kuyaweka kwenye umma ni ufisadi tu.
Ukiaambiwa unatumia masaburi kufikiria, sijui utakasirika? Nawe unajisifu
kwamba leo tarehe 1.10.2011 umeanzisha thread jamii forumn. Kichwa maji wewe.

Avatar yako ya ukweli
 
ha ha ha ah aha ha ha aha ha ha ha..............no comments mkuu lol!! leo niemeongeza siku kwa kucheka!!
 
Kuhusu picha za Avater, yeyote ukiona ujue kuna kitu fulani kinachomvutia mwenyewe kwa malengo na hisia zake. Jiulize kuna picha ngapi ambazo naweza kuzipata na kuzitundika hapa e.g. wanyama, denge, mimea, watu maarufu, n.k. Lakini nimechangua hii, kuna kitu naamini katika picha hii. Vivyo hivyo na kwa wengine. Nitaendelea kutoa elimu ya bure kwako kwani ndo faida za kuingia jukwaa la great thinkers ukiwa kilaza.

nimei2mia kufikisha ujumbe ,ccm nao wamefikisha ujumbe kwa watanzania,1 meli iliyo zama,idadi ya waliokufa 2 bei ya mafuta ya mitambo na taa,3 bei ya sukari, 4 umeme,,,nani kilaza kati ya mimi na wewe .?mpk uuzwe ndo ujue..
 
Back
Top Bottom