Je serikali yetu ipo sahihi?

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Si kipindi kirefu toka TCU na HESLB kutoa taarifa zao kuhusu MKOPO waliotoa kwa baadhi ya wanafunzi kutokana na vigezo vyao ambavyo vinatutia mashaka sisi tulio kosa na jamii kiujumla.kuna makundi kama 6 wameyato HESLB yakielezea kwa nini wamekosa MKOPO.BUT kuna kundi moja ambalo linasemakana wamekosa mkopo et fedha hazitoshi.je ni kweli 2naafikiana na hawa HESLB kwa hiyo sababu ya kijinga.wakat kuna fedha kibao wanateketeza kwa mambo yasiyo na maana kama Compain za kijinga ambazo zinamaliza mamilion ya fedha.mafisadi wanalala na fedha mpaka wanashindwa namna yakuzi2mia.JE 2TAENDELEZA ELIMU KWA MTINDO HUU?ninahasira sana coz wana2danganya wasomi.ET KILIMO KWANZA WITHOUT WATAALAMU INAWEZEKANA
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,022
1,766
Ningekua ndo mie,ningevaa mabomu thn naenda kujilipua mbele ya jk.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom