Je, Serikali ina uwezo wa kuwalinda Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliofukuzwa Uanachama?

Siku Mnyika atakaposhituka kumbe anapigana vita vya peke yake muda hautokuwa upande wake hili ni swala la muda tu. Chadema haina uwezo wa kurisk kupoteza Ruzuku na wabunge 19 Mzee wa gia za anga amefanya Damage control tu soon mtasikia wamerudishiwa uanachama na wanaendelea kuwa wabunge na Mbowe anachukua ruzuku na zile milioni moja moja kwa wabunge wa viti maalumu na laki 5 kwa mbunge mmoja waliompata
huu ndo ukweli halisi ndugu..! asiyeufahamu apitie hpa.☺️
 
Naamini lengo kuu la cdm kuwavua uanachama ni wao wapoteze pia ubunge, sasa ikitokea wakalindwa basi lengo la adhabu yao litakuwa halijatimia.
Mahakama itaamrishwa kutokutoa hukumu mpaka miaka mitano iishe hivyo kanuni zitaendelea kuwabeba hao wanaoitwa wabunge wa viti maalumu, mimi ninawaita political mercanaries yaani malaya wa kisiasa.
 
Nina hofu ndugai na nec kwa swala hili wanaweza kujiharibia sifa. Ingewezekana kuwabeba kina halima kama wanachama wa chadema ila kwa kuwafukuza uanachama ndugai imebaki kuletewa taarifa rasmi tu ili awatimue kina halima bungeni. Vinginevyo itakua janga kuhusu utawala bora.
Cecil mwambe ilikuwaje kwani?
 
Chadema hawataki zile nafasi Sasa wacha wazitumikie tu watu ambao wako tayari

Wao kamati kuu wacha waendelee kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
Kwani wametumia katiba mupya kuwatimua au katiba iliyopo?
 
Wakuu habari ya leo?

Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na kanuni zote zimefuatwa.

Nahisi lazima kuna kikao cha siri na chenye ajenda nzito baina ya hao watu na watu walioshika dola.

Saivi wamevuliwa uanachama na watakosa sifa za kuwa wabunge.

SWALI NINALOJIULIZA:

JE, SERIKALI IKIAMUA KUWALINDA ILE KINDAKI NDAKI JE WANAWEZA KUENDELEA KUWA WABUNGE?

Mfano waende mahakamani na kesi ipigwe danadana mpaka miaka 5 iishe na muda huo wako mjengoni Chadema watafanya nini?

Na wakipeleka majina TUME YA UCHAGUZI halafu TUME majina hayo ikafungua maandazi na kukaa kimya itakuwaje.

Wajuzi wa mambo naombeni majibu.
Nafikili chochote kitakachofanyika juu ya wabunge Hawa, ukweli utabaki Kama ulivyo kwamba ,wameisha timuliwa ndani ya chama,na si wanachama tena, na hawatambuliki ndani ya chama
Na msimamo huo wa chama ,ndo msimamo wa wanachama,
Sasa wabaki bungeni,au wasibaki ukweli unabaki hivyo hivyo na hakuna sababu ya kuhumiza kichwa kwamba wanaendelea kuwepo bungeni, ali Hali chama kimetimiza wajibu wake,na KWA maana iyo Wala sitegemei kwamba chadema itateua watu wa viti mahalum, bali itaendelea julikana kwamba chadema haina wabunge kwenye bunge hili ,inatosha sana
 
Nina hofu ndugai na nec kwa swala hili wanaweza kujiharibia sifa. Ingewezekana kuwabeba kina halima kama wanachama wa chadema ila kwa kuwafukuza uanachama ndugai imebaki kuletewa taarifa rasmi tu ili awatimue kina halima bungeni. Vinginevyo itakua janga kuhusu utawala bora.
Vipi kuhusu Cecill Mwambe wa kule kusini katika Bunge lililopita? je Ndugai aliporuhusu aendelee na Ubunge wake huku akiwa sio mwanachama wa CHADEMA kuna sifa yeyote aliipoteza? kuendelea kuyajadili haya huku tukijua wazi hakuna kitakachofanyika ni kupoteza muda tu ni vema tukajikita kupambania maisha yetu na familia zetu hawa wanasiasa wana maisha yao tena inawezekana ni mazuri kuliko ya kwetu.
 
Wakuu habari ya leo?

Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na kanuni zote zimefuatwa.

Nahisi lazima kuna kikao cha siri na chenye ajenda nzito baina ya hao watu na watu walioshika dola.

Saivi wamevuliwa uanachama na watakosa sifa za kuwa wabunge.

SWALI NINALOJIULIZA:

JE, SERIKALI IKIAMUA KUWALINDA ILE KINDAKI NDAKI JE WANAWEZA KUENDELEA KUWA WABUNGE?

Mfano waende mahakamani na kesi ipigwe danadana mpaka miaka 5 iishe na muda huo wako mjengoni Chadema watafanya nini?

Na wakipeleka majina TUME YA UCHAGUZI halafu TUME majina hayo ikafungua maandazi na kukaa kimya itakuwaje.

Wajuzi wa mambo naombeni majibu.
Hao ni wabunge wa Ndugai
 
Now hatuna bunge tuna baraza la CCM
 
Mimi sio mtaalamu wa siasa ila baada ya kuyasoma maswali yako,kuna swali moja hapo umeuliza kwamba:

Kwa mfano CHADEMA wakienda mahakamani na serikali ikaamua kuwalinda kindakindaki CHADEMA watafanya nini? Hili swali ndio jibu la maswali yako yote lilipo na mada imeisha.
Mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM hakuna haki kwa chadema ya akina mnyika mbowe na kamati kuu
 
Wakuu habari ya leo?

Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na kanuni zote zimefuatwa.

Nahisi lazima kuna kikao cha siri na chenye ajenda nzito baina ya hao watu na watu walioshika dola.

Saivi wamevuliwa uanachama na watakosa sifa za kuwa wabunge.

SWALI NINALOJIULIZA:

JE, SERIKALI IKIAMUA KUWALINDA ILE KINDAKI NDAKI JE WANAWEZA KUENDELEA KUWA WABUNGE?

Mfano waende mahakamani na kesi ipigwe danadana mpaka miaka 5 iishe na muda huo wako mjengoni Chadema watafanya nini?

Na wakipeleka majina TUME YA UCHAGUZI halafu TUME majina hayo ikafungua maandazi na kukaa kimya itakuwaje.

Wajuzi wa mambo naombeni majibu.
Mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM usitegemee haki kwa chadema ya viongozi wa kamati kuu
 
Inasemekana mwenyekiti na wenzake walikuwa na orodha yao ya wabunge waliotaka wachukue zile nafasi, na kiuhalisia watu waliokuwa wamechaguliwa walikuwa ni wake zao, mademu zao, dada zao na ndugu ambao vigogo wa chama wangenufaika moja kwa moja na pesa zao za mishahara.

Sasa ile orodha ikavuja na akina Mdee wafia chama wapambanaji hawakuwemo katika list hiyo. Ndiyo chanzo cha movie hii.

Ngoja tusubir episode 3.
Hata akina mdee ni mademu zao pia kwani Easther matiko kazaa na Salum mwalimu huku wengine 19 wakichepuka mle na wao mara leo sugu mara huyo Lema hiyo covid 19 siyo malaika ndiyo maana sasa wana michepuko mipya huko CCM hawajatulia kabsa hawana mfano wa kuigwa ni watukutu balaa, kitendo cha kugushi kufoji sahihi ni ushahidi tosha kuwa wao ni mafusika wa kisiasa hawajali chochote kile,
 
Mkuu hii movie itakuwa imeanzia kwa JIWE anajuwa huu mchezo so Ndugai na NEC wako salama kabisa hata wasipowatimua.

Pia hii issue lazima MBOWE anaijuwa ila tu atakuwa kakausha kwanza ili presure ya watu itulie, Haiwezekani kuwa mwenyekiti hajuwi.
Lengo la CCM ni kurejesha mfumo wa chama kimoja kama China ndiyo maana wanatengeneza migogoro ili chadema ife kama UDP DP TLP NCCR na CUF ya ya Lipumba wapate kisingizio cha kusema hakuna upinzani Nchini waitishe kura ya maoni wafanye uchakachuaji mkubwa kura zote ziseme hazitaki mfumo wa vyama vingi CCM itawale miaka 50000
 
Mtoa mada hilo la kuwalinda halina shaka matamko yapo tayari spika,AG,NEC. Swali ni lengo la ccm na serikali yake litatimia kuwakumbatia covid19!?
Pesa ya walipa kodi inatumika kuwalinda kuwalea covid 19 wanandungai kwa njia haramu za kishetani ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
yap...serikali haishindwi kitu. Utasikia tu spika akisema ofisi yake haina taarifa za hao 19 kupoteza ubunge wao. Nani anapeleka taarifa kwa spika? Unakumbuka yale ya Nyarandu?
Spika Ndungai huwa hatumii wala kufanya kazi kwa mjibu wa Sheria na katiba, yeye hufanya kazi kwa Sheria zake binafsi alizojitungia na pia hutumia fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM, haitashangaza kufanya maamuzi yeyote kwani sasa hakuna Utawala wa Sheria kila kiongozi wa CCM hutumia Sheria binafsi kuwadhoofisha chadema
 
Mahakama itaamrishwa kutokutoa hukumu mpaka miaka mitano iishe hivyo kanuni zitaendelea kuwabeba hao wanaoitwa wabunge wa viti maalumu, mimi ninawaita political mercanaries yaani malaya wa kisiasa.
Mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM hakuna haki kwa chadema ya akina mnyika na kamati kuu
 
Back
Top Bottom