Ronaldo hafungi magoli ya free kick?Sammata ni kama ronaldo
Hawadribble
Hawaassist
Hawakabi
Hawa play make
Hawafungi freeckick
Wao ni kufunga tu ikipatikana bahati
Usimfananishe Ronaldo na mambo ya "ajabu".Sammata ni kama ronaldo
Hawadribble
Hawaassist
Hawakabi
Hawa play make
Hawafungi freeckick
Wao ni kufunga tu ikipatikana bahati
Wewe mwenyee kitu hujawahi cheza hata ndondoKwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Ronaldo kafunga freeckick 55 messi 45 naomba umuheshimu ronaldo ni hayo tuSammata ni kama ronaldo
Hawadribble
Hawaassist
Hawakabi
Hawa play make
Hawafungi freeckick
Wao ni kufunga tu ikipatikana bahati
Si kila maoni yafanane na unayoitaji hayo sio maoni ukweli ni kuwa kakosa umakini leo maaanhata off/on target hana.Mwenyewe unajiona unajua kukiko Samatta wakati hata ligi ya mtaa hujacheza na kama ulicheza labda rede na dada zako, kijana wa kiume aliyecheza hata chandimu hawezi kuandika haya matakataka yako labda tu awe sio miongoni mwa wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Mbwana Samatta aanza kusugua benchi KRC Genk.
Mshambuliaji na Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta hali imeanza kuwa tete katika klabu yake ya KRC Genk. Hii ni kufuatia kupigwa benchi mara mbili mfululizo katika mechi za ligi. Mechi ya kwanza ilikuwa nyumbani pale KRC Genk walipo ikalibisha Waasland Beveren, katika mechi hiyo Samatta...www.jamiiforums.com
Jr
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Mtu anaongea hivi huku hata zile timu za kuchaguana kwa panda shuka hajawahi pata namba
Wewe utakua mlevi, Ronaldo hafungi free kick?Sammata ni kama ronaldo
Hawadribble
Hawaassist
Hawakabi
Hawa play make
Hawafungi freeckick
Wao ni kufunga tu ikipatikana bahati