Mimi hata mnyama aliyegogwa na treni nakula tu.
Samaki ni kibudu ingefaa na kupendeza kama ndugu zetu wangesusa kumtafuna kama Mbuzi Katoliki hali ingekuwa nzuri sana hasa katika eneo la bei.
Kumbe samaki ni mnyama!!!!!!!!!!!!
Mi sijui bana........mi nakulaga kila kitu.......kasoro nzige......sipendi sana.......
mnyama apaswa kuchinjwa ndo umfanye kitoweo
asipochinjwa ndo anakuwa kibudu.kwani asipochinjwa inakuwaje?
vipi wale ndege tuliokuaga tunalenga kwa manati?