Je, Saharan Communication ndio inafilisika?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Saharan Communication ndio inafilisika?!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Elai, Dec 26, 2011.

 1. E

  Elai Senior Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maeneo mengi huku mikoani walikoweka repeater za redio free Africa (RFA) yamekuwa yakikosa matangazo yao kwa ufasaha. Nichukulie mfano Iringa, matangazo ya RFA kwa mwaka 2011 yamepatikana kwa chini ya 50%. Imekuwa iki-scratch sana na kukata kwa muda mrefu na kurudi kwa muda mfupi kabla ya kukata tena, na hakuna marekebisho yoyote yanayofanyika.Ni kero hasa pale unapokuwa na ratiba ya kutaka kusikiliza kipindi fulani. Zamani haikuwa hivi kiasi kwamba imenifanya niamini kuwa wako hoi kifedha. Ninakaribisha maoni.
   
 2. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tatizo la kuwa na wafanyabiashara waliozoea vya kunyonga. Wanakuwa na uwezo wa kufanikisha biashara zao wakiwa ndani ya siasa, maana mfumo unawakingia kifua. Wakikosa madaraka tu, vyeo viayeyuka na biashara zao. Mifano inazidi kuongezeka. Wapi Scandinavia Bus Services?!
   
 3. E

  Elai Senior Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli kabisa, tupo pamoja.
   
 4. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bado sahara com imesimama vizuri tu kama ni matatizo ni ya kawaida
   
 5. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Matatizo ya kawaida ndiyo yapi?
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  star tv ndio kabisa mpk inaikitisha hata mwanza inapatikana kimachale, mbaya zaidi utakuta wkt wa taarifa ya habari saa 2 usiku-- wanarusha habari ya kitaifa lkn picha za matukio ni za habari ya michezo ni full mkanganyiko na inachukua dk nyingi bila wao kunotice hayo makosa, na makosa yanajirudia karibu kila siku. Sauti haina mpangilio inapanda inashuka mara matangazo yanakata ...
   
Loading...