Je, Rwanda itakuaje baada ya miaka 50? (What rwanda will be like 50yrs to come?)

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,635
Kwa propagant za west n kana kwamba rwanda inaendelea sanaaa kuliko sehem nyingine africa!

Ingawa uhalisia wake unaonekana wa kawaida sana ukitoa ishu ya jiji safi kigali

Je ni kweli kua rwanda inakuja kua SINGAPORE YA AFRICA BAADA YA MIAKA 50?

Discuss
 
Rwanda itakuwaje miaka 50 ijayo? Kulingana na umri anaoonekanao Mheshimiwa Rais wao aliyeko madarakani, ukiongezea miaka 50 kwa umri huo, uwezekano mkubwa atakuwa ni Rais Mstaafu wakati huo. Wa kiweza kukabidhiana madaraka vema na mrithi wake wa madaraka, itakuwa ni msingi mkubwa kawajengea. Na miaka 50 ijayo watakuwa na utamaduni wa kupokezana madaraka.

Je ni kweli kua rwanda inakuja kua SINGAPORE YA AFRICA BAADA YA MIAKA 50?

Ndiyo. Masuala ya kupokezana madaraka yasipowatoa kwenye reli.

Nitakutajia sababu kadhaa zifuatazo:

1. Rwanda imewekeza kiukweli kwenye TEHAMA. Si Kiswahili-Mrefu. Maneno-Mingi. Uwekezaji kweli.

2. Rwanda imegatua majukumu ya utekelezaji. Yaani pamoja kwamba Rais Kagame yuaonekana kana kwamba ni "mkali", mamlaka mengi ya utekelezaji kayagatua. Hivyo rasilmali na maamuzi mengi yamegatuliwa, na yeye kazi yake kubwa ni kuangalia na kupima matokeo. Ikiwa matokeo hayalingani na makubaliano ya ugatuzi na rasilmali zilizotumika, hapo "ukali" wake huonekana bila kujali uswahiba.

3. Rwanda inajali Rasilmal-watu. Mnyarwanda yoyote mwenye ilm au maarifa ambayo yanaweza kuwa ya manufaa kwa taifa lake, hutafutwa kokote aliko arejee nyumbani kujenga kweli taifa.

4. Rwanda inavyocheza gemu la jiopolotikia.
 
Acheni kusifia upuuzi nchi ambayo wahutu % 86 ya raia wote hawana afsa jeshini mwenye cheo cha brg .gen hata 1 naiona Rwanda bomu la kesho.

Povu ruksa
Hiki ndio kitu watu wengi hawakioni. Ile nchi vitu vingi bado ni artificial, vinatengenezwa na mkono wa chuma. Haijawahi kutokea, minority ikaongoze majority isipokuwa kwa ubabe. Siku ubabe ukiisha, wengi watakuja kuchukua chao. Naruhusu povu pia.
 
Kwa propagant za west n kana kwamba rwanda inaendelea sanaaa kuliko sehem nyingine africa!

Ingawa uhalisia wake unaonekana wa kawaida sana ukitoa ishu ya jiji safi kigali

Je ni kweli kua rwanda inakuja kua SINGAPORE YA AFRICA BAADA YA MIAKA 50?

Discuss
Sehemu Pekee nayoona miaka 50 inaweza ikawa Singapore ni Zanzibar na Dar es salaam

Sehemu nyingine kwa mbali ni Mwanza na Dodoma (Kama Ndoto ya Magufuli kuendeleza huu mji haitaishia njiani)

Mwanza is strategically located, kama makampuni ya madini yatahifadhi pesa ndani ya nchi na kujenga ofisi zao hapa kwetu (hasa mwanza).

Kwa nini nimelinganisha Rwanda na Mwanza na pengine Dodoma
1. Kijeografia haya maeneo hayajapishana
2. Umeme wote wanaotumia Rwanda ni sawa na Umeme unaotumika Mwanza (Kwa maana nyingine civilisation level ya Mwanza haina tofauti na Rwanda)

Tukipata viongozi visionary na Wananchi tukaamua kufanya kazi kwa bidii... Tanzania ni sehemu potential sana
 
Acheni kusifia upuuzi nchi ambayo wahutu % 86 ya raia wote hawana afsa jeshini mwenye cheo cha brg .gen hata 1 naiona Rwanda bomu la kesho.

Povu ruksa
Binafsi pia naliona hili. Maana nasikia hii jamii ya wa hutu ina minywa sanaa. Na hata nasikia chanzo cha Rwanda kuishutumu ufaransa kushiriki ktk genocide ni eti kinacho semwa ya kuwa jeshi la ufaransa liliwalindaa jamii ya wahutu ambao walikuwa watejwe na kikosi cha bwana mkubwa. Ndio bwana PK akanuna
 
Kwa propagant za west n kana kwamba rwanda inaendelea sanaaa kuliko sehem nyingine africa!

Ingawa uhalisia wake unaonekana wa kawaida sana ukitoa ishu ya jiji safi kigali

Je ni kweli kua rwanda inakuja kua SINGAPORE YA AFRICA BAADA YA MIAKA 50?

Discuss
Inawezekana Ila wanatakiwa kuweka system ya uongozi ambayo itahakikisha hakuna migogoro ktk kubadilishana madaraka na vision ya maendeleo inaendelezwa na kuongezewa kasi na ubunifu.
 
Watarudi kule kule ....ngoja wahutu waamke...
Well said, miaka hiyo majority ndio watakuwa wanaongoza huko Rwanda - huu ni ukweli ambao shall come to pass, haya mambo ya kujidanganya kwamba minority wataendelea kuongoza majority kimabavu milele, hizo ni ndoto za mchana ambazo kama PK na like mind wenzake wataendelea kuya entertain it will cost Rwanda an arm and leg eventually - narudia kukumbusha tena kwamba, uwezi kuzuhia Tsunami ya majority ku-rule minority - we should learn from past history - hata ukitumia misuli ya jeshi,vyombo vya usalama na Polisi kug'ang'ania madarakani mwisho wa siku majority watashinda tu eventually aidha overtly au covertly or better still through a free and fair elections ie without leaders resorting to vote rigging.
 
Kwa historian ya Taifa husika tena tukianzia tu mwaka 1959 to 1991 ndoto ya Rwanda kufikia ndoto hiyo ni ndoto za rastafarian

Kilichoko Rwanda kwa sasa hakina tofauti na kikichopo kwenye mfuko wa kichaa .

Wakati wowote kinaweza kuwa chochote kivyovyote .

Licha ya Kagame kujitahidi sana kutaka kuiondoa Rwanda kuikumbuka jana yao lakini idadi na ukali wa waliyoyapitia Rwanda ni vigumu kufutika mioyoni mwao .

Kwa wasiyofahamu .

Kihistoria kiongozi mkuu wa RWANDA AMEKULIA KWENYE MAKAMBI YA WAKIMBIZI .

Usisahau kuwa pia 88+% ya viongozi wakuu wa Rwanda pia wamekulia kwenye MAKAMBI YA WAKIMBIZI .

Zaidi ya asilimia 90+% ya viongozi waliyomadarakani hawana sera ya UTAIFA mioyoni mwao yaani zaidi ya asilimia hizo za WATUSI WALIYO NJE YA MISIMAMO YA WAHUTU ) yaani kabila mbili zilizo na uasisi wa sisi zaidi ya Taifa .

Zaidi ya

Zaidi ya 70+% ya Raia wa Rwanda pia wamekulia kwenye MAKAMBI YA WAKIMBIZI so what do we expect from them?

You guys

Rwanda inahitoria ngumu sana mjue ,muundo wa Rwanda unautofauti mkubwa sana na mataifa mengi ya ukanda wetu .

Naungana na msemaji mmoja hapo juu aliyesema Tanzania inaweza kuwa kwenye nafasi ya juu sana kwenye miaka kadhaa ijayo kama itapata viongozi wenye weredi wa kuyajali maslahi ya pamoja (kwasababu hatuna sababu zenye majeraha makubwa ) kuifananaisha na Rwanda .
 
Well said, miaka hiyo majority ndio watakuwa wanaongoza huko Rwanda - huu ni ukweli ambao shall come to pass, haya mambo ya kujidanganya kwamba minority wataendelea kuongoza majority kimabavu milele, hizo ni ndoto za mchana ambazo kama PK na like mind wenzake wataendelea kuya entertain it will cost Rwanda an arm and leg eventually - narudia kukumbusha tena kwamba, uwezi kuzuhia Tsunami ya majority ku-rule minority - we should learn from past history - hata ukitumia misuli ya jeshi,vyombo vya usalama na Polisi kug'ang'ania madarakani mwisho wa siku majority watashinda tu eventually aidha overtly au covertly or better still through a free and fair elections ie without leaders resorting to vote rigging.
Ni suala la muda tu,tuombe uzima tutashuhudia mambo ya kushangaza kea mara ingine nchini rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom