Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 726
- 2,678
Kwani haya mambo yanahitaji kuamini?si unafatilia trends na unaona..Na wewe mkuu ukaamini hivyo?
idumu Tanzania na sio kingine chochoteUkiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye.
Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata bayana wa kinachoendelea.
Hofu yangu ni usaliti unaotamkwa hadharani tena unaofanywa na wasaidizi wake M/kiti unatoa taswira ya wazi safari si salama huko mbele.
Hata huo MKATABA kuwekwa kwenye mitandao ni wazi pia USALITI WA FAIDA ULIFANYWA.
Shime kwa bi mkubwa tafadhari aichunguze vyema nyumba aishio na kwalo ujitahidi kufanya yaliyo ya kweli na haki.
Uzuri wa jambo jema hujieleza lenyewe bila utetezi uchwara. Na vilevile jambo baya daima hukataliwa na kila awaye tena kwa kupaziwa sauti!
CCM tukiendelea kujipendekeza na kujidanganya eti Watanzania bado ni mbumbumbu na tunaweza kufanya lolote kwa kulazimisha hakika tutakuwa tunaendelea kujidanganya!
Lipo jambo moja nitabilialo-UASI WA MAMBO MABAYA KWA TAIFA KUTOKA KWA MTENDA.
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
ccm vichwa vyao ni sawa na cha kwenye ndani ya suruali yangu, kw hyo unataka mambo y kipumbavu yaendelee kufanyika kw usiri na kufunika funika kama zamani ilihali hata nchi ikiuzwa kwenu ni sawa kwa maslahi yenu! nyakati zimebadilika mulijue hiloUkiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye.
Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata bayana wa kinachoendelea.
Hofu yangu ni usaliti unaotamkwa hadharani tena unaofanywa na wasaidizi wake M/kiti unatoa taswira ya wazi safari si salama huko mbele.
Hata huo MKATABA kuwekwa kwenye mitandao ni wazi pia USALITI WA FAIDA ULIFANYWA.
Shime kwa bi mkubwa tafadhari aichunguze vyema nyumba aishio na kwalo ujitahidi kufanya yaliyo ya kweli na haki.
Uzuri wa jambo jema hujieleza lenyewe bila utetezi uchwara. Na vilevile jambo baya daima hukataliwa na kila awaye tena kwa kupaziwa sauti!
CCM tukiendelea kujipendekeza na kujidanganya eti Watanzania bado ni mbumbumbu na tunaweza kufanya lolote kwa kulazimisha hakika tutakuwa tunaendelea kujidanganya!
Lipo jambo moja nitabilialo-UASI WA MAMBO MABAYA KWA TAIFA KUTOKA KWA MTENDA.
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Kwani haya mambo yanahitaji kuamini?si unafatilia trends na unaona..
Why watu wasamabaze mkataba hauna kikomo??
Wakati mkataba uko so clear kuwa mkataba wa HGA duration yake itakapofika mwisho na IGA itakuwa umefika mwisho..
Na HGA bado haijasainiwa
Mbona na wewe sasa unafanya rejea kutoka kwenye mkataba fake uliosambazwa kwenye media!?Kwani haya mambo yanahitaji kuamini?si unafatilia trends na unaona..
Why watu wasamabaze mkataba hauna kikomo??
Wakati mkataba uko so clear kuwa mkataba wa HGA duration yake itakapofika mwisho na IGA itakuwa umefika mwisho..
Na HGA bado haijasainiwa
Anajisaliti kwa ujinga wake wa kutopenda kujisomea, hicho kikundi hakikumpeleka arabuni kwa wajomba zake, ni mzembe.We hukuona threads mbili za poisonous ??
Kasema wazi kuna kikundi kimepanga kumkwamisha Rais ...na mkataba uliosambazwa sio mkataba halisi
Mkataba ninao fanya rejea Una termination clause...na iko wazi Kabisa inasema uhai wa IGA utatokana na uhai wa HGA...Mbona na wewe sasa unafanya rejea kutoka kwenye mkataba fake uliosambazwa kwenye media!?
Wachambuzi Wengi wanaongea vitu hawajavielewa kabisa ...Ufafanuzi wa baadhi ya wachambuzi, wanasiasa ndio uliotaja kutokuwepo kwa ukomo na hilo ni suala la uelewa tu...
Kama kuna mkataba/makubaliano ya ukweli tofauti na tuliyooneshwa, mbona mjadala wa bunge kuhusu makubaliano hayo ulikuwa ukipita mulemule kwenye vipengele vya huo "mkataba feki"
Ukiwekwa hapa utaelewa?kuna mchambuzi mmoja kajitangaza msomi aliebobea kaenda kutangazia watu Bandari ni mpaka...imagineSasa aweke mkataba halisi ili wasiwasi uishe
Unajaribu kumdanganya nani? Rais anajiangusha mwenyewe. Mkataba halisi uko wapi? Ulijaribu angalau kufuatilia ule uliokuwa unajadiliwa bungeni?We hukuona threads mbili za poisonous ??
Kasema wazi kuna kikundi kimepanga kumkwamisha Rais ...na mkataba uliosambazwa sio mkataba halisi
Umesoma hizo threads? Nimdanganye mtu kwani ni Mimi nimeandika hizo threads??Unajaribu kumdanganya nani? Rais anajiangusha mwenyewe. Mkataba halisi uko wapi? Ulijaribu angalau kufuatilia ule uliokuwa unajadiliwa bungeni?