Je, Rais anahujumiwa Shirika la Reli?

Je, Rais anahujumiwa Shirika la Reli?

Acha umandemba.
Basi unajiona mjanjaaa.

Hivi unaishi nchi gani!?
Kuna awamu iliyojaa chuki, unafiki, unyanyasaji, mauaji, visasi, ukosefu wa amani na uovu zaidi ya hii?

Mf:
Vita ya vyeti Bashite hadi leo ni mwana wa mfalme.
Kununua viongozi - mnyeti

Jina lako sawa na pumba zako
Sio mada inayojadiliwa, acha kuchanganya mada na chuki binafsi
 
Back
Top Bottom