Patiee
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 474
- 717
" Hapana, binafsi naandika programu mbalimbali kwa lugha tano tofauti, na Google pamoja na StackOverflow vimekuwa msaada wangu mkubwa. Proffesor wangu mmoja chuo kikuu aliwahi kusema " haulipwi kwa kujua jibu la swali, bali unalipwa kwa kujua wapi pa kutafuta jibu la swali".
Na huo ni ukweli mtupu, ninaweza nisijue syntax ya mstari fulani wa kodi ninaouhitaji, lakini najua namna unavyoonekana na kazi ninayotaka ufanye, hivyo ninautafuta haraka na unakamilisha kazi yangu wakati mtu mwingine hajui hata wapi ataanzia ".
Maneno haya anasema bwana Mats Bauer Mobile application developer wa kampuni ya Quoori huko nchini Ujerumani.
Kwangu mimi nimefanya project kadhaa kwa JavaScript na Java na inafika kipindi nataka kuweka functionality fulani lakini nashindwa ku implement kwa lugha husika na hivyo StackOverflow imekuwa ni mkombozi wangu katika incidence hizo.
Nini maoni yako juu ya hili ?