Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Mkuu akitoa ombi huwa ni Amri! Amesema kuna uchafu kwenye Ofisi ya CAG! Na pengine kuthibitisha uchafu huo akamuondoa Prof.Assad kwa kisingizio cha kustaafu( nimeita kisingizio kwa sababu, lugha iliyotumika haikua ya MTU anayestaafu Bali aliyekuwa terminated).
Rais ameonyesha mfano wa kuondoa "uchafu" kwenye ofisi ya CAG! Then kitakachofuata baada ya "uchafu" Kuondoshwa ni nini? Kuandaa hati ya mashtaka?
Je, Prof Assad ni "uchafu"? Je, watendaji watakaa kimya hawatatii maagizo ya kwenda kumalizia kuondoa " uchafu"? Na kama hakuna "uchafu" Prof anaweza kudai haki ya kuwa na ofisi yenye "uchafu"??
Je, wanaweza kuwafungulia mashtaka hao " wachafu" wengine kisha wakamuacha kumfungulia mashtaka "mchafu" mkubwa ambaye kiongozi wa nchi ameonyesha njia tayari?
Alamsiki....