Je, Pasco Mayalla kachochea kufuatiliwa kwa Jamii Media?

adna yuzo

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
1,038
2,000
Habari zenu wakuu!

Tushukuru kwa Mungu kuiona siku nyengine kwani kuna watu waliamka jana na kutegemea kuiona leo lakin Mungu hajawapa nafasi hiyo.

Huo ni utangulizi ila si moja ya mada ambayo ilibidi niandike hapa, mada halisi ni kuhoji; Je, Bwana Pasco Mayalla(NJAA) ndio chanzo ya haya?

Tukumbuke mwezi uliopita mh rais wa Tanzania aliita kikao na waandishi wa habari lengo ni kujua dira yake n.k.

Sasa katika mahojiano hayo maswali mengi yaliulizwa ikiwemo mkurugenzi wa TBC, JamiiForums members n.k

Katika maswali yalioulizwa yalikuwa mengine ni rahisi kujibiwa kwa kuwa tuliyaona lakini mengine ni magumu sana kwa rais kuyajibu lakini kiuhalisia hakuna swali gumu ila inategemea na mjibuji.

Swali aliouliza Pasco Mayalla kiukweli lilishtusha watu kwa kuwa ni zitto licha ya kuliweka katika mfumo ulio rahisi kwa mtu asiyejua maswali kuona ni kitu simple lakini lile swali halikupata jibu sahihi.

Ndiyo maana mijadala mengi ilianzishwa humu ndani mpaka Facebook n.k.

So, hebu tujadili; Je, Pasco Mayalla kachochea kufutiliwa kwa Jamii Media kutokana na maswali yake tata?

Naomba kuwasilisha..
 
Mgogo Mmoja

JF-Expert Member
Aug 7, 2013
336
500
Kinachoiumiza Serikali hii ni kutokufahamika kwa watumiaji wa mtandao huu (Fake ID).

Wanataka wawajue watumiaji, ili ukiiponda Serikali/ Ngosha, uwekwe ndan miez miwil bila dhamana...!

Kabla ya Swal la Pasco, JF ilishakuwa mwiba mkali kwao, kwahiyo swal lake halijabadilisha chochote
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,264
2,000
Habari zenu wakuu!

Tushukuru kwa Mungu kuiona siku nyengine kwani kuna watu waliamka jana na kutegemea kuiona leo lakin Mungu hajawapa nafasi hiyo.

Huo ni utangulizi ila si moja ya mada ambayo ilibidi niandike hapa, mada halisi ni kuhoji; Je, Bwana Pasco Mayalla(NJAA) ndio chanzo ya haya?

Tukumbuke mwezi uliopita mh rais wa Tanzania aliita kikao na waandishi wa habari lengo ni kujua dira yake n.k.

Sasa katika mahojiano hayo maswali mengi yaliulizwa ikiwemo mkurugenzi wa TBC, JamiiForums members n.k

Katika maswali yalioulizwa yalikuwa mengine ni rahisi kujibiwa kwa kuwa tuliyaona lakini mengine ni magumu sana kwa rais kuyajibu lakini kiuhalisia hakuna swali gumu ila inategemea na mjibuji.

Swali aliouliza Pasco Mayalla kiukweli lilishtusha watu kwa kuwa ni zitto licha ya kuliweka katika mfumo ulio rahisi kwa mtu asiyejua maswali kuona ni kitu simple lakini lile swali halikupata jibu sahihi.

Ndiyo maana mijadala mengi ilianzishwa humu ndani mpaka Facebook n.k.

So, hebu tujadili; Je, Pasco Mayalla kachochea kufutiliwa kwa Jamii Media kutokana na maswali yake tata?

Naomba kuwasilisha..

A good conspiracy theory!!! Ha ha ha!!
 
krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
250
Jamiiforum ilikuwa ni mwiba toka inaanzishwa na kulikuwa na mada kalikali sana ambazo ukizisoma mpk wewe mwenyewe unajiogopa natoa Kitano

Namna jk alivyopata misukosuko monduli
Namna waitara alivyompiga makofi jk
Nk

Mada Kali zilikuwepo sana tu sema tofauti ni aina ya mkulu jk alikuwa mvumilivu sana ile grace period ya kuvumiliana imeexpaya wakuu.
 
shiu yang

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
3,171
2,000
Magufuri anapenda siku moja watumiaji wa JF

Tufungue JF tukutane na haka kaneno
"servers not found"

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,101
2,000
Jf ni mbaya sana hakuna kiongozi yeyote atakayo ipenda .uzuri wa jf ni kuwa unayempa maagizo ya kuangamiza mtu au fanya kitu flani naye ni member humu mnafanya naye mipango sirini.mnajua mpo wa wili kumbe mpo watatu mtoa mipango,mtekeleza mipango na kajf.siri zinafanyika gizani kabla hakuja pambazuka zinabwagwa jf.hahahahahah.wacha wawatafute wabaya wao.wanataka kufanya tanzania ya sirini wakati dunia now haina siri?? kama walivyoweza kuishambulia wakati wa uchaguzi basi ndio hivyo hivyo watafute hivyo wanavyo fitaka.

Ina maana security ua jf wameshindwa kuiingilia kweli kuibomoa na kunyakua wavitakavyo bila kumdhuru mtu ?? Mbonq serikari yetu inanipa mashaka sana.je itaweza kweli kudeal na majambazi ya kimataifa ya mitandaoni.kama wa nigeria??
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,287
2,000
Habari zenu wakuu!

Tushukuru kwa Mungu kuiona siku nyengine kwani kuna watu waliamka jana na kutegemea kuiona leo lakin Mungu hajawapa nafasi hiyo.

Huo ni utangulizi ila si moja ya mada ambayo ilibidi niandike hapa, mada halisi ni kuhoji; Je, Bwana Pasco Mayalla(NJAA) ndio chanzo ya haya?

Tukumbuke mwezi uliopita mh rais wa Tanzania aliita kikao na waandishi wa habari lengo ni kujua dira yake n.k.

Sasa katika mahojiano hayo maswali mengi yaliulizwa ikiwemo mkurugenzi wa TBC, JamiiForums members n.k

Katika maswali yalioulizwa yalikuwa mengine ni rahisi kujibiwa kwa kuwa tuliyaona lakini mengine ni magumu sana kwa rais kuyajibu lakini kiuhalisia hakuna swali gumu ila inategemea na mjibuji.

Swali aliouliza Pasco Mayalla kiukweli lilishtusha watu kwa kuwa ni zitto licha ya kuliweka katika mfumo ulio rahisi kwa mtu asiyejua maswali kuona ni kitu simple lakini lile swali halikupata jibu sahihi.

Ndiyo maana mijadala mengi ilianzishwa humu ndani mpaka Facebook n.k.

So, hebu tujadili; Je, Pasco Mayalla kachochea kufutiliwa kwa Jamii Media kutokana na maswali yake tata?

Naomba kuwasilisha..
.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom