mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,097
Ndugu yangu kwa sasa hakuna mtu mwenye nguvu ya Kufanya maamuzi makubwa ya nchi kisiasa hapa nchini kama MKAPA
Na Nkapa ndio aliifilisi nchi yetu.Yule chio ntu
Ndugu yangu kwa sasa hakuna mtu mwenye nguvu ya Kufanya maamuzi makubwa ya nchi kisiasa hapa nchini kama MKAPA
Viroba na Madawa ya kulevya ilikuwa ndio Nguzo ya BAVICHA!
typing error Ng'egera ilikuwa ni taipu 1999He!nyerere amefariki 91 kweli vioja wakati uchaguzi Wa 95 Alimpigia kampeni mkapa
ilikuwa ni taiup 1999 sio 1991
1999nani huyo akaitwa mbele ya haki 1991
kweli Mungu huyohuyo huwaweka madarakani viongozi wa jeuri kama Magufuli ilikuonyesha na kudhihirisha utukufuwake refer Daniel na mfalme NebukednezaKabisa. Kwamba Mungu hawezi kukupatia vyote...mfano Lowassa kukkosa urais licha ya kuwekeza mabilioni, funzo la pili ni kwamba Mungu humuinua mwenye haki, mfano Magufuli
Biblia ni story tu za wayahudikweli Mungu huyohuyo huwaweka madarakani viongozi wa jeuri kama Magufuli ilikuonyesha na kudhihirisha utukufuwake refer Daniel na mfalme Nebukedneza
wayahudi ni kina naniBiblia ni story tu za wayahudi
Wayahudiwayahudi ni kina nani