Je Nyerere alishawahi kukutana na Magufuli?

Kupiga picha na Nyerere haikuwa rahisi hivyo. Ni wachache sana tulibahatika.
 
Angeonana nae vipi wakati hakua kiongozi muandamizi kwenye chama na serikali? Huu urais wenyewe kabip,ikapokelewa.
 
Mh. Rais wetu kukutana au kutokutana na Julius Nyerere kuna faida gani kwa Nchi yetu?

Lowassa Mbona alipata Picha ya kuvizia na Julius Nyerere Mbona bado tulimwita Mwizi?

Mzee Mwinyi alipiga Picha Nyingi na Julius Nyerere lakin bado aliitwa Dhaifu kwa kushauriwa na Mkewe?

Mkapa Mbona ni Chaguo la Kambarage lakin bado Mgodi wa Umma wa Kiwira alituhumiwa kuubadili na kuwa wa kwake na Familia yake?

Jakaya pia alipiga picha kadhaa na Nyerere lakini bado aliitwa dhaifu?

Kukutana au kutokutana na Nyerere kwa sababu zozote zile kusingeondoa Matatizo yetu kwa kuwa hata Nyerere Mwenyewe alikutana na 'Nyerere' lakin bado Shida zetu ziliongezeka.

Chapa Lapa 'Blaza Magu '
 
Aisee angekutana nae naona angetambua mapema viashiria hasi au chanya au kuna boriti zimekaa vibaya au vizuri kichwani na angeonya mapema kama alivyohairishwa urais wa JK alipogundua kwamba bado alikuwa "hajakuwa" kipindi kile
 
Hii bandiko outward linaonekana la kijinga lakini lina undani wake!
Nilikuwa najiuliza mfano marais kama Nelson Mandela ameandika vitabu ambavyo ni refeence point ya maisha ya wengi wetu na nimeona kitabu kingine cha Mzee Thabo Mbeki kina kurasa zaidi ya 900.
Kwa Tanzania nimeona vitabu vya Mwalimu pekee ndiye alijitahidi kuandika. Sijaona kitabu chochote cha Mwinyi, Mkapa ni kile alichoandika akiwa Makerere, JK hata makala yake kwenye gazeti sijawahi kuiona na sasa tunaye JPM. Hiyo list inajumuisha mawaziri wakuu, makatibu, wakurugenzi nk japo wengine ni maprofesa na madaktar. Nasikia Mzee Makamba alijitutumua lakini kilikuwa cha watoto wa Primary na akaiomba wizara ikiweke kwenye mitahala!
Sasa najiuliza tutawakumbuka vipi hawa watu kama hawajayadocument nawazo yao na ushauri juu ya mustakabali wa nchi walizoziongoza!?
Mandela n Nyerere waliokuwa viongozi wenye upeo mkubwa sana. Walikuwa n kitu chakufanya kwa ajili ya watu. Ni rahisi sana kwa viongozi wa aina hii kuwa n machapisho. Itatuchukua muda kuwapata.
 
Watu wanalazimisha upumbavu wa kutaka Wananchi tuanze kupiga picha na Viongozi!. Aibu kwelikweli!
 
Back
Top Bottom