Je Nyerere alishawahi kukutana na Magufuli?

Viroba na Madawa ya kulevya ilikuwa ndio Nguzo ya BAVICHA!

Na nguzo ya UVCCM ni hii hapa..
MBWIGA.jpg
 
Kabisa. Kwamba Mungu hawezi kukupatia vyote...mfano Lowassa kukkosa urais licha ya kuwekeza mabilioni, funzo la pili ni kwamba Mungu humuinua mwenye haki, mfano Magufuli
kweli Mungu huyohuyo huwaweka madarakani viongozi wa jeuri kama Magufuli ilikuonyesha na kudhihirisha utukufuwake refer Daniel na mfalme Nebukedneza
 
Yani hapa ilitaka kuwa: NYERERE-MWINYI-MKAPA-KIKWETE-LOWASA-MEMBE-??? HIYO NI TANU/CCM
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom