Je Nyerere alishawahi kukutana na Magufuli?

Kabisa. Kwamba Mungu hawezi kukupatia vyote...mfano Lowassa kukkosa urais licha ya kuwekeza mabilioni, funzo la pili ni kwamba Mungu humuinua mwenye haki, mfano Magufuli

mbona hujasema mfano mobutu seseseko
 
826ce62d9b9d4bad302715afd6c7c8d3.jpg


02ab8814fb7c6ae158769dfe9a2dc633.jpg


View attachment 471384

5ae7aaf445b8fd82452c4fa982765f6a.jpg


75807fb0d1ec5852716f5bd17c1412f7.jpg


maswali mengine hayahitaji majibu ya kuchapa kwenye keyboard.
 
Kabisa. Kwamba Mungu hawezi kukupatia vyote...mfano Lowassa kukkosa urais licha ya kuwekeza mabilioni, funzo la pili ni kwamba Mungu humuinua mwenye haki, mfano Magufuli
mmmh!! mwenye haki.
haki gani hiyo mkuu unaweza kutusaidia
 
Naomba mwenye angalau kumbukumbu ya picha kama walishawahi kukutana kama hawa wenzie
826ce62d9b9d4bad302715afd6c7c8d3.jpg


02ab8814fb7c6ae158769dfe9a2dc633.jpg


View attachment 471384

5ae7aaf445b8fd82452c4fa982765f6a.jpg


75807fb0d1ec5852716f5bd17c1412f7.jpg
Nafikiri kwa utaratibu wa miaka ya utawala wa Nyerere, ambao yeye akiwa ndio mkuu wa UD, na akihudhuria sherehe zote za mahafali na kuwatunuku vyeti, wahitimu ye mwenyewe, basi huenda makutano baina yao, yalipata tokea
 
hata kama angekuwa alikuw ahajang'atuka, akutane naye for what kwamfano? nyerere alikuwa na muda wa kupoteza na watu wengine hao?
 
Kwani kukutana na Nyerere ndio kigezo cha kuwa kiongozi bora Tanganyika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom