Nimekuwa kila nikihudhuria sherehe mbalimbali kama harusi, sent-off na occasions zingine nawaona baadhi ya wanandoa wanakuja na watoto wachanga (kama miezi 3, 6 10).....! Wanakaa hadi saa sita - nane usiku...! Sasa nimekuwa najiuliza je, hawa watoto wanatendewa haki kweli na wazazi wao? Binafsi tabia hii inanikera, inaniudhi na kunikatisha tamaa kuwa watu wanazaa bila kuwa tayari kulea .....! Nawaombeni nyote humu JF tufikishe ujumbe huu kwa wahusika....!
Kwa kweli ni wa kuwalaani, lakini nadhani kuna haja ya kutafuta utaratibu wa kukomesha hii tabia...!Karibu tena bwana kona kali,tutapunguza mwendo tusiangushe magari, ila kweli mimi mwenyewe hiyo tabia inanikera ,fikiria katoto kanawekwa ktk kelele za sherehe tunaumba kiumbegani cha baadae jamani, halafu kakiwa hamnazo mzazi huyohuyo anakitukana cjui imekaa vipi hii
Karibu tena bwana kona kali,tutapunguza mwendo tusiangushe magari, ila kweli mimi mwenyewe hiyo tabia inanikera ,fikiria katoto kanawekwa ktk kelele za sherehe tunaumba kiumbegani cha baadae jamani, halafu kakiwa hamnazo mzazi huyohuyo anakitukana cjui imekaa vipi hii
Hili kwa kweli ni tatizo kubwa sana...............hao watoto wakikuwa sijui watakuwaje?
namama zao pia wapata adabu kutoka kwa mababa za watoto mana kisciance 80 percent ya akili ya mtoto kutoka kwa mama sasa inapokua anamuathiri mtoto atakapo kua tahira school ataonekana mama kumbe alikua hamnazo....so kiupande mwengine huwa wanwake wanajipotosha kimatendo wafanyayo...
tatizo watu wanakwenda ktk sherehe si kwa sababu anenda kushereheka bali kula mchango wake hapo ndipo ulazima wa kwenda shughulini unakuja hata kama kuna sababu ya msingi kama ya kuwa na mtoto yeye anakwenda tu, cku mmoja nilihudhuria shoo moja ya mzee yusuf na kundi lake la jahazi , pale ukumbi wa magereza Zanzibar, cha ajabu kulikuwa na mama kaja na mtoto mdogo wa kupakata, wengine wanavitoto under 10yrs ilinikera hadi hiyo shoo nikaondoka kabisaa
that's not fear 4 real!!!!
waswahili hawjali mwenzie anajiskiaje, ilimradi yeye nafsi yake inaburudika basi kanyaga twende.................batalokota benyewe kunyavu
Naungana na wewe kupinga kitendo hiki huu ni unyanyasaji watoto badala mtoto apumzike kitanda unabaki kumpakata na kero za music na mengineyo.
sasa mi nikija utanitembeza wapi wakati kumbe mambo ndo hayo?omg ntajaribu lakini..i realy wish 2 b there...inshaallah!!!