Je, niwaambieje kama mwanaharakati wa haki za binadamu?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Nimekuwa kila nikihudhuria sherehe mbalimbali kama harusi, sent-off na occasions zingine nawaona baadhi ya wanandoa wanakuja na watoto wachanga (kama miezi 3, 6 10).....! Wanakaa hadi saa sita - nane usiku...! Sasa nimekuwa najiuliza je, hawa watoto wanatendewa haki kweli na wazazi wao? Binafsi tabia hii inanikera, inaniudhi na kunikatisha tamaa kuwa watu wanazaa bila kuwa tayari kulea .....! Nawaombeni nyote humu JF tufikishe ujumbe huu kwa wahusika....!
 
Karibu tena bwana kona kali,tutapunguza mwendo tusiangushe magari, ila kweli mimi mwenyewe hiyo tabia inanikera ,fikiria katoto kanawekwa ktk kelele za sherehe tunaumba kiumbegani cha baadae jamani, halafu kakiwa hamnazo mzazi huyohuyo anakitukana cjui imekaa vipi hii
 
Kwa kweli ni wa kuwalaani, lakini nadhani kuna haja ya kutafuta utaratibu wa kukomesha hii tabia...!
 
Hapa umeongea kweli kabisa hii tabia inanikera sana, kitoto kinpigwa baridi tu bila sababu tena saa nyingine unakuta mama yake anakula lager jamani wa mama wengine sijui hawana uchungu mie wangu sithubutu bahati tu saa hizi washakuwa wakubwa aakkk najikalia zangu kimya. Ila wanaudhi kuwatesa watoto na baridi
 
namama zao pia wapata adabu kutoka kwa mababa za watoto mana kisciance 80 percent ya akili ya mtoto kutoka kwa mama sasa inapokua anamuathiri mtoto atakapo kua tahira school ataonekana mama kumbe alikua hamnazo....so kiupande mwengine huwa wanwake wanajipotosha kimatendo wafanyayo...
Karibu tena bwana kona kali,tutapunguza mwendo tusiangushe magari, ila kweli mimi mwenyewe hiyo tabia inanikera ,fikiria katoto kanawekwa ktk kelele za sherehe tunaumba kiumbegani cha baadae jamani, halafu kakiwa hamnazo mzazi huyohuyo anakitukana cjui imekaa vipi hii
 
Hili kwa kweli ni tatizo kubwa sana...............hao watoto wakikuwa sijui watakuwaje?
 
namama zao pia wapata adabu kutoka kwa mababa za watoto mana kisciance 80 percent ya akili ya mtoto kutoka kwa mama sasa inapokua anamuathiri mtoto atakapo kua tahira school ataonekana mama kumbe alikua hamnazo....so kiupande mwengine huwa wanwake wanajipotosha kimatendo wafanyayo...

tatizo watu wanakwenda ktk sherehe si kwa sababu anenda kushereheka bali kula mchango wake hapo ndipo ulazima wa kwenda shughulini unakuja hata kama kuna sababu ya msingi kama ya kuwa na mtoto yeye anakwenda tu, cku mmoja nilihudhuria shoo moja ya mzee yusuf na kundi lake la jahazi , pale ukumbi wa magereza Zanzibar, cha ajabu kulikuwa na mama kaja na mtoto mdogo wa kupakata, wengine wanavitoto under 10yrs ilinikera hadi hiyo shoo nikaondoka kabisaa
 
that's not fear 4 real!!!!

Naungana na wewe kupinga kitendo hiki huu ni unyanyasaji watoto badala mtoto apumzike kitanda unabaki kumpakata na kero za music na mengineyo.
 
sasa mi nikija utanitembeza wapi wakati kumbe mambo ndo hayo?omg ntajaribu lakini..i realy wish 2 b there...inshaallah!!!
waswahili hawjali mwenzie anajiskiaje, ilimradi yeye nafsi yake inaburudika basi kanyaga twende.................batalokota benyewe kunyavu
 
sasa mi nikija utanitembeza wapi wakati kumbe mambo ndo hayo?omg ntajaribu lakini..i realy wish 2 b there...inshaallah!!!

pa kutembea pao pengi tena panaraha ajabu bibie, kila pahala utakapo nitakupeleka we sema wataka uende wapi, uone nini,upate nini vyote utatimiziwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom