ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
halafu.....?
niondoke zangu
halafu.....?
nimemtongoza kakubali, sasa nipo nae ndani kashavua nguo ila sijui niingize wapi. wadau naombeni ushauri
hahahahahahahah ingiza puani
Habari wana MMU.
Nilitokea kuanguka kimapenzi kwa dada mmoja ambaye ni mwanachuo, huyo dada alikuwa best yangu wa kawaida tu.
kama mnavyojua wakuu kuwa penzi ni kikohozi na kulificha haliwezekani.
Ikafika siku mzee nikajikakamua nikamweleza yanayo nisibu moyoni mwangu na tangu siku hiyo urafiki wetu ukapungua, lakini ghafla naona siku hizi ananichangamkia kama zamani.
Je nikumbushie?