Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,541
- 44,295
Hamna urafiki hapo, kuna mmoja kati yao ni mnafiki, nachelea kusema mleta uzi ana shida.Rafiki yako ana akili na busara, sababu ya kutohudhuria ndoa yako inajulikana pia alipunguza ukaribu ili asiharibu ndoa yako.
Pia kama mlikuwa na ukaribu ilikuwaje msiambiane kuhusu mahusiano ya wanawake zenu Hadi unakaribia kufunga ndoa hapo Kuna kitu unaficha.