Je! Nini Kimewazindua Wabunge CCM Ghafla?

Kumbuka kwenye shida kila mtu ana hasira!
Kadri shida inavyozidi kutamalaki,ndivyo hasira dhidi ya walamba asali na msoga gang inavyozidi kuongezeka.
Nimeogopa sana nilipoisikia clip moja huko YouTube inayotaja watu wa kutangulizwa akhera kwa manufaa ya Umma.

Ndio nimeelewa watu wejaa sumu kwa kiasi gani huko mtaani!

Hiyo sumu dhidi ya CCM iko tokea uchaguzi wa 2010 kwani kizazi cha CCM kimeishapita. Vyombo vya dola ndio bado vinakuwa kinga ya CCM. Na dhalimu ndio aliamua kutumia vyombo vya dola waziwazi dhidi ya hasira kwa ccm. Ukitaka kujua hasira dhidi ya ccm ni jinsi wapiga kura wanavyozidi kulipuuza box la kura kwani linawapa ushindi ulio kinyume na matakwa ya umma.

Ni wazi kizazi hiki itabidi kiondoe uoga ili kuingia barabarani kuitoa CCM. Na CCM itakapotoka iwe mwiko chama kingine kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 mfululizo. Kwani kikishakaa madarakani zaidi ya miaka 10 huanza kutawala kwa mizengwe na sio tija.
 
Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?

Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.

Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"

Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?

Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"

Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?

Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!

Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!

Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!

Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
Watu wanaoweza kujibu swali hilo vizuri ni wao wenyewe wabunge.
Sisi wengine tutakuwa tunabuni majibu tu, ila mioyo ya wabunge hao inayo majibu ya swali husika.
 
We utakuwa ni mgeni wa CCM. Hayo yooote unayoyaona wameyapanga kwenye kikao cha Chama "Part Cocus" ili ionekane wanawajibishana. Uhuni mtupu!
 
Ccm ni matapeli wala si wakuwaamini. Hawajawahi kuwa serious kuhusu Maisha ya Mtanzania
 
Watu wanaoweza kujibu swali hilo vizuri ni wao wenyewe wabunge.
Sisi wengine tutakuwa tunabuni majibu tu, ila mioyo ya wabunge hao inayo majibu ya swali husika.
Ni kweli pia!
 
Apana ndugu, wameshambuliwa na Mzee KINANA, kawaamgia kupiga makofi na nyimbo za sifa ni kwenye mikutano ya chama, na ujasiri wa mbunge ni bungeni. Wameambiwa wakaisimamie serekali na wachape kazi waliyotumwa na wananchi
 
Hapo umeeleweka mkuu!
Mchango wako mistari michache,majibu sahihi.
 
Uzooefu wangu uko hivi ccm kila usogeapo uchaguzi wao huandaa migogoro na ufikapo huungana tujikite kwenye Mambo muhimu waacheni ccm na ccm yao
 
Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?

Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.

Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"

Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?

Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"

Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?

Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!

Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!

Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!

Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
Msikilize huyu
 
Msikilize huyuView attachment 2409912
 
Mkuu
Fuatilia matukuo ya CCM Bungeni kuelekea mwaka wa uchaguzi, utakuta hili linaloendelea Bungeni ni marudio ya roadmap to General elections.

Mangapi yaliibuliwa na hayajastua hata nyonga ya Taifa?

Hiki wanachokiibua sasa kinaenda kusimamiwa na nani utekelezwaji wake?

Unasubiri TAKUKURU ambayo kazi yake ni kusubiri maagizo ya nani wamahughulikie na nani wamuache?

Kikubwa tuelimishane kwa kukusanya matukio yote hatarishi ambayo wananchi waelezwe ukweli hasara za kuendelea kuiamini CCM kuwa itakuja kubadilika.

Mimi ninaona kinachoendelea ni drama kwa sababu Serikali ina vyombo vyote vya kikatiba na kisheria kuibua na kushughulikia hayo madudu. Na kingine zaidi ni kuonesha udhaifu wa katiba yetu ambapo inapelekea hitaji kubwa la katiba mpya ambayo kila aliye timamu atawajibika kuitii na kutoivunja
 
Muda sio rafiki tunakaribia chaguzi nyingine.
 
Kazi nzuri ya Rais Samia ku guarantee Uhuru wa kujieleza as opposed to yule
 
Umenena !!

Back
Top Bottom