Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
Absolutely trueWamegundua mbeleko haiko tena
Yule aliyekuwa akiwabeba kwa kutumia nguvu ya dola, yupo kuudongo🥺
Absolutely trueWamegundua mbeleko haiko tena
Wamepewa meno bandia na asali kuhakikisha maaaja anazamishwa iwe mvua iwe jua.Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?
Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.
Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"
Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?
Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"
Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?
Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!
Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!
Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!
Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
asante kwa kujaribu kutupitisha kwenye mambo muhimu.kimsingi hawajarudi kwenye mstari bali wanataka kuhamisha akili za wananchi ili wawaone kweli wanawatetea kumbe sivyo hivyo wameingiwa na hofu kuelekea 2025.pili wanaona wenzao waliopewa shapu wanapiga pesa ya kutosha wakati wao wanasugua viatu hivyo wanaona wivu kwa kuwa wanaona 2025 hawatkuwa na pesa za kuwanunua wapiga kura na jingine wengi wa hao wanono waliingizwa kwenye huo mjengo kwa hisani na kwa kuwa aliyewaingiza hayupo tena hivyo wanawaaminisha wapiga kura kuwa wako pamoja nao wakati svyo ili waweze kurudi tena mjengoni.Bungeni Dodoma!
Ghafla tumeona sasa wameuvua "U-bonge" na kuuvaa"U-bunge"
Walikuwa "Waishiwa" Sasa wamerudii kuwa "Waheshimiwa"
Je!
Ni kuguswa na matatizo ya wapiga kura wao huku mitaani kwa sasa?
Au ni kuhofia kuanguka na Chama,endapo upepo utaendelea na dhoruba kali.
Na hivyo kuweza kubadili mawazo ya wapiga kura wao.
Hasa baada ya kupiga mayowe Gizani,huku wenye Kupaswa kuwaletea mwanga wakisinzia kwa wimbo mtamu wa "Ndiooo!"
Je ni kukomaa Demokrasia ndani ya CCM?
Au ni kwa sababu mita za mabomba ya "Asali" zimefungwa kwa "Wachache",na hivyo kugeuka na kuamua kuungana na wananchi,huku kwenye mabomba ya "Shubiri" mtaani!.
Je!
Wameshituka na pengo kubwa linajitokeza na kukua kati ya "Walala Hai" na
"Walala Hoi"?
Au wanatishika na matabaka mapya kati ya "Walamba Asali" na
"Walamba Shubili"
Huku wakijua kabisa,hatima ya u-bonge wao,iko zaidi kwa "Walamba Shubiri"
Au ni baada ya kugundua gari waliyoipanda,dereva sio yule aliyejitambulisha kwao hapo Awali?
Ninadhani,ni kama vile wameshituka kuona gari CCM ikielekea shimoni,Na Dereva saa-100, yumo ndani kwenye usukani,lakini hayasikii mayowe ya tahadhali wanayompigia!
Yeye ndio kwanza anaongeza mwendo kulielekea korongo.Hivyo baadhi ya wa-bonge wameamua kuruka nje mapema!
Shaka anaendelea kuondoa Shaka,ndani ya Moyo wa Dereva!
Lakini Ukweli...Barabara inazidi kuharibika na siioni 2025 iliyo na kheri kwa Zisi-Emu!
Tunaomba ziara zisiwe na ma-zari kwa wachache!
Nimependa zisi emu!!Bungeni Dodoma!

Kumbe huu ndo uhuru uliokuwa unasemwa siku zote duuuh hii hatr sana tz tunasafari ndefu sanaUhuru wa kisiasa umerejea kwa kiwango fulani.
Humohumo ndani ya chama chao kuna ka-uhuru fulani hivi kwa sasa ukilinganisha na vile mambo yalikuwa hata ndani ya chama chaoKumbe huu ndo uhuru uliokuwa unasemwa siku zote duuuh hii hatr sana tz tunasafari ndefu sana
We sisiem huijui vzuri iyo plan na kwa sababu wanajua akili za wanaowaongoza ni kama wewe ndo maana wanafanya ivoHumohumo ndani ya chama chao kuna ka-uhuru fulani hivi kwa sasa ukilinganisha na vile mambo yalikuwa hata ndani ya chama chao
Inawezekana !!Wamepewa meno bandia na asali kuhakikisha maaaja anazamishwa iwe mvua iwe jua.
TukumbusheMbona Juma Nkamia alishajibu hoja yako?