Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,437
😄 Muliro J. MuliroNimekuquote mara tatu ili kuonesha msisitizo...
Naomba usinisahau katika hili zoezi. Nina vibastola bandia vya kutosha na masks kibao za sura ya Osama bin Laden...
😄 Muliro J. MuliroNimekuquote mara tatu ili kuonesha msisitizo...
Naomba usinisahau katika hili zoezi. Nina vibastola bandia vya kutosha na masks kibao za sura ya Osama bin Laden...
Ina maana akijiita kukujike atatoboa?Au jina lako linawaogopesha... kukudume kwake ni bandani na mitetea yake...
BTW usikate tamaa. Kila jambo na wakati wake.
Nishirikishe na mimi huo mpango wa heisthamna uafadhali..
kama uko Free tukafanye Heist mkuu
Kila nafasi ya ajira inayotangazwa mm naomba, lakini hawaniiti hata kwenye interview. Je, nina Gundu au nimerogwa au Mungu hataki niende kwenye mishahara minono?
Mmojawapo n mmWakuu ushauri mutakaonipia hapa utawasaidia wengi sio mm tu peke yangu maana najua tupo wengi kama mm
Una akili timamu au wewe ni mpumbavu.?Kwa sasa ni mwaka wa 10 ninayo ajira lkn kipato hakizidi hata mili9ni moja.hivyo natafuta angalau kamshahara kafikie 3m na kuendelea.
We jamaa mchawi kwl.Kwa sasa ni mwaka wa 10 ninayo ajira lkn kipato hakizidi hata mili9ni moja.hivyo natafuta angalau kamshahara kafikie 3m na kuendelea.
AmenUsife moyo mkuu jaribu utaitwa Usiache kujaribu na kumtanguliza Mungu hata mm nilikuwa kwenye situation Kama hiyo nashukuru mungu nimeitwa kwenye enterview minzani. Kitendo cha kuitwa tu kwenye enterview nimeona nihatua kubwa Sana maana niliapply nafasi nyingi sana sikuwahi itwa japo interview
Cheza saaana na CV yako, kwenye skills experience jaribu kucheza na mistari Yao. Ila usikate tamaa ukiwa unatafuta kazi Hali kama hiyo hujitokeza. Unaweza hata kuitwa interview Mkoani ukachoma nauli na usipate kazi, alafu siku unarudi nyumbani unakuta wife anakusubiri ndani Hamna kitu. Duh haya Maisha Noma.Kila nafasi ya ajira inayotangazwa mm naomba, lakini hawaniiti hata kwenye interview. Je, nina Gundu au nimerogwa au Mungu hataki niende kwenye mishahara minono?
😂 😂Jamani princess ariana heist ndio nn .natamani kujua kama nayo ni aina ya ajira ili tuwe pamoja