Je nimwache?

Kua mtafiti na mfuatiliaji.Tafuta pesa siku mkionana kodi tax,bodaboda au bajaji mfuatilie hadi mwisho.Kama anaishi fiesta utajua.
 

You've Enlighten Me,I will be extra careful,
Thanks lots
 
inawezekana anaishi kwake ila sio pazuri kiivyo (substandard) sasa anaogopa kukupeleka nyumbani kwani unajua utaamuacha au pia uenda ana mtu kwako anajikiza tu,anyway review class is good meeting point,hapo CPA lazima itapatikana tu.

aisee, kwani walikutana centa gani, kwa babito au boma kwa rashidi....?
 
Mpenzi wangu hataki nijue anapoishi, ila kwangu ameshafika, nikimuuliza kwanini hajawahi kunionyesha anapoishi, anadai anaishi na wadogo zake kwa hiyo sio vyema wakaniona, hapa nimeona dalili la penzi la kichina.

May be he really not committed to u,so that he acts like wind vane to measures winds direction,mapenzi ya review class Ni ngumu kujua Ni kweli amekupenda hasa au anataka kampani ya shule,3 year back i met with a cute while i did cpa review module F,while she had only single subject MA so as to get cpa,after doing exam she got it while i i didnt,so tend to ignore me since i was loving her,anyway after second sitting i got it,tena paper ilikuwa ngumu na alijua kama ni ngumu akaanza kujigonga kwangu mpaka leo na mimi i do the same(ignore).
 

Hahaha sipati picha lara1 ukiingizwa KING inatokea mda mwingine
 
Last edited by a moderator:
Kwanza tian una malengo gani nae??

Mbanie hiyo tam tam mpaka atakapokuonesha anapoishi na uthibitshe kiukweli kabisa kama shida ndo hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu hataki nijue anapoishi, ila kwangu ameshafika, nikimuuliza kwanini hajawahi kunionyesha anapoishi, anadai anaishi na wadogo zake kwa hiyo sio vyema wakaniona, hapa nimeona dalili la penzi la kichina.

kama hana umuhimu mwache
 
Kwanza tian una malengo gani nae??

Mbanie hiyo tam tam mpaka atakapokuonesha anapoishi na uthibitshe kiukweli kabisa kama shida ndo hiyo!

Wala Simpi Ng'ooo
 
Last edited by a moderator:

mie thithemi kitu bibie naona tayari umefunga mjadala.
 

hahahahal lol ukicopy na kupaste hii tian utaambiwa sio wife material
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha ha unagonga ikulu....kumbe ndio maana husisitizi kufika kwangu.........
 
ndio hivyo upajue tuu sio uwendee....Nenda uishilie nje usiingie ndani coz nyie wanaume nyie hamchelewi kubadilika mnapoona sketi nyingine....Halafu lawama inakuja kuwa mwanamke malaya...



 
mko kwenye uhusiano kwa muda gani?
kuna tatizo mahali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…