Hahaaaa! Kwani hao wadogo zako wa kike wana nini? Hawakazwiii? Thubutuuuuuuu! Nyie ndo mnaleta double standards! Mi madogo wana nipenda sanaa coz i try to be real! Najua wanakazwa sanaa, so najaribu kuwafanya waniambie anything! Mda mwengine tuna joke kabisaa, sio kibamia kweli huyo! Hata nikiwapa elimu ya kujitambua wanasikiliza!sio kila demu anapelekwa nyumbani especially kama unaishi na wadogo zako tena wa kike......
Hahaaaa! Kwani hao wadogo zako wa kike wana nini? Hawakazwiii? Thubutuuuuuuu! Nyie ndo mnaleta double standards! Mi madogo wana nipenda sanaa coz i try to be real! Najua wanakazwa sanaa, so najaribu kuwafanya waniambie anything! Mda mwengine tuna joke kabisaa, sio kibamia kweli huyo! Hata nikiwapa elimu ya kujitambua wanasikiliza!
Nina msela wangu anafundisha chuo, basi ndo zake, wanafunzi anagongea home!
Sasa mi nilikiwa nikiwa stressed out naenda pale kunywa pombe za bure, kula, kutia hasara in return nampa pointers za kipata madem, na mpimp mademu, napika saa ingine, hivo!
Wakija wadada anawaambia huyu dada yangu! Basi wanaliwa hatari! Mda mwengine 2 kwa siku!
Nikamuuliza kwanini unawapanga huofii scandal? Yuko SINA GHARAMA ZA KUCHEZEA KULIPIA HOTEL ISSUE ZENYEWE NYINGI CHINI YA KIWANGO! Nikimpeleka hotel ale, aninywee hasara sanaa! Bora hapa anafua, anasafisha, anapika namla vile vile! Win win kwangu!
Ndo mfano unaotakiwa kuwa wanaume wengi ni mbwaaaa! Hata akitongoazwa anakuwa na akili! Sasa ukimleta mdada mmoja, huyo huyo ukamuoa anajua ndo maisha yalivo, akitongozwa anajua ataolewa! Thubutuuuuu! Mimi nimekuwa na cousins wangu wa kiume ----- ----- hatari, ndo maana nimewajua wanaume kiuhalisia! Wala walikuwa hawajifichi na wanatutisha kabisaaa! Fear of being played helped me!nakuleta wewe...kesho mwajuma baada ya mwezi kidawa...nitakuwa nawapa mfano mbayaa....pia inategemea wadogo wenyewe wana umri gani.....
Ndo mfano unaotakiwa kuwa wanaume wengi ni mbwaaaa! Hata akitongoazwa anakuwa na akili! Sasa ukimleta mdada mmoja, huyo huyo ukamuoa anajua ndo maisha yalivo, akitongozwa anajua ataolewa! Thubutuuuuu! Mimi nimekuwa na cousins wangu wa kiume ----- ----- hatari, ndo maana nimewajua wanaume kiuhalisia! Wala walikuwa hawajifichi na wanatutisha kabisaaa! Fear of being played helped me!
Sasa mkiwa mnbehave kinafiki inawa mislead! Kama wadogo zangu wa kike siwafichi kabisaa mambo yangu! Nikiingizwa KINGI nawasimulia wajue kabisaaa dunia sio tambarrae! TIMES HAVE CHANGED! So did the game! Think outside the box!
Hahahaaaaaaaaa! Not necessarly! There are FEW GOOD MEN LEFT! Wengine akikuruhusu means ANAKUPENDA, kama hakupendi hugusi kochi lake! Wengine it means NOTHING! Just nothing! Sawa umefua, umedeki hadi uvungu, SO WHAT? Wengine kama Ticha wangu hapo juu it means you have been PLAYED! Hatafuti beki tatu ngooo! IT IS REALLY HARD TO TELL!Mmmmmmhhhh!!!!
Hahahaaaaa! Tena mie huku kitaaa ndo nakutaka! Aaaaaaaaaa! Nakunywa margarita zako, menu zilizoenda shule, i dress to impress for the evening, najipiga selfie za kutosha, tunahama joints kama 3, tunaishia hotelini, kama kuna sinki naweka povu kabisaa na kinywaji changu pembeni najiloewkamo humo! Na surf hata 1 hour humo! Baada ya hapo lengire na nguo za kazi ziko wapi, cheni ya kiuno iko wapi! Aaaah! Baadae wewe lala mi naoga tenaaa! Najianika kwenye ac,na movie ya maana! THAT IS LIVING!mmhh wewe...hivi ushawahi kukosa jibu??!!!! nikikuona unafaa nitakupeleka home,nikiona upo upo tu tutaishia huku huku kitaa
Hahahaaaaaaaaa! Not necessarly! There are FEW GOOD MEN LEFT! Wengine akikuruhusu means ANAKUPENDA, kama hakupendi hugusi kochi lake! Wengine it means NOTHING! Just nothing! Sawa umefua, umedeki hadi uvungu, SO WHAT? Wengine kama Ticha wangu hapo juu it means you have been PLAYED! Hatafuti beki tatu ngooo! IT IS REALLY HARD TO TELL!
Jamani Mimi Wa Kike
Hahahaaaa! NIMESEMA HIVO KUMAKE ALL THE PEOPLE WANAOFANYIWA HIVO TO FEEL A LITTLE BETTER!:A S wink::A S wink: Hahaaaaaaa! Kwamba it is not that bad! Hahaaaa! Nikasafiria koment ya mguno wako!Mimi nilichoguna ni kwamba wengine wakienda huwa wanapika, wanafua, wanadeki na mwishoni wanaliwa...
Lakini wewe ukienda basi utakula, utakunywa, kupika labda itokee tu na mwishoni waondoka hujaguswa hata kidogo...
Hehehehe!!!
Ushamjua uchafu wake wooote, hata kuku turn on inakuwa impossible! Mnabakia kunywa bia tu pamoja!:A S wink::A S wink::A S wink:
The more the truth is true the harder it is believed! THE BIGGER THE LIE, THE EASIER IT IS BELIEVED!Umejitetea vizuri...lakini bado sijaamini!!!
Anayelalamika kutopelekwa home ni mdada.Umwache ili iweje??kama kakupa sababu ni wadogo zake..si umpangie chumba ili uwe unaenda vizuri hata kutwa mara tatu...ila wadada tupunguze kufake maisha tutakosa bahati hivihivi..
Mpenzi wangu hataki nijue anapoishi, ila kwangu ameshafika, nikimuuliza kwanini hajawahi kunionyesha anapoishi, anadai anaishi na wadogo zake kwa hiyo sio vyema wakaniona, hapa nimeona dalili la penzi la kichina.
tian ujue jamaa anaishi na mwanamke mwingine.....