Je, Nimuonjeshe? Naomba ushauri

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
[h=3]Je, Nimuonjeshe?[/h]

Wakatazama movie hadi...........
Kaka nashukuru kwa kutuelimisha kupitia blog yako ambayo kila mara napenda kuipitia ili kupata maarifa kimahusiano.
Nimepata mchumba na sasa tuna kama miezi 4 hivi, nimepanga kwamba suala la sex hadi baada ya kuoana yaani siku ya honeymoon, hata hivyo naona namna anaongea na anavyonitega kuna harufu ya kunitaka sex.
Nampenda na Sipendi nimuudhi je, sex kabla ya ndoa ina athari zozote?
Nisaidie!
Dada Jane (siyo jina halisi)
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Dada Jane asante kwa swali zuri ambalo huulizwa mara nyingi sana na akina dada.
Pia nashukuru sana kwa kupita hapa na kujifunza kwani mwenyewe najifunza kuliko ninyi wasomaji.
Pia hongera kwa kupata mchumba na zaidi ahadi yako ya kuhakikisha unamkabidhi kila kitu siku ya ndoa yenu na sivinginevyo.
Jibu sahihi ni kwamba sex kabla ya ndoa si sahihi na msimamo wa blog hii ni kwamba kabla ya ndoa sex ni dhambi na kuna athari kubwa sana zinazopelekea kutokuaminiana na zaidi kusababisha ndoa kuanza kufa mapema.
Sipendi kuhukumu na kuwa mzungumzaji sana kwenye issue muhimu na personal kama hiyo, hata hivyo naweza kukushauri uende kwa kiongozi wako wa dini na muulize kama atakukubalia sex kabla ya ndoa na akikubali urudi uniambie ili nami niongee naye.
Pia suala si sex tu bali soma hapa
+++++++++++++++++++++++++++++++++
Nikupe mfano wa kweli
Nancy (siyo jina halisi) ni dada ninayemfahamu anaishi Kimara Dar es salaam na alimpata mchumba James (siyo jina halisi) mwanaume wa miaka 40 naye anaishi Tegeta jijini Dar es salaam, wamekuwa wanaenda wote sehemu tofauti na kujiona ni kweli kuna kila dalili ya kuwa mke na mume.
Kwa kuwa Nancy ana miaka 36 kumpata James kwake ni kitu adimu na alijipanga tayari kuolewa kwani muda unaenda na nguvu ya uvutano ilishaanza kuvuta kwenda chini.
James alikuwa akimshawishi Nancy walale wote kitanda kimoja mara kwa mara na Nancy alikuwa anagoma na kumuahidi wasubiri hadi siku ya harusi.
Hata hivyo miezi miwili baadae, James alimualika Nancy kwenye sherehe ya rafiki zake huko Tegeta (jumapili) na sherehe zilichelewa kumalizika kitendo kilichopelekea James kuondoka na mchumba wake (Nancy) na kwenda naye kwake.
Walipofika kwake (James) walikaa kwenye sofa wakaweka movie wakaanza kuitazama na hatimaye Nancy akajikuta yupo kifuani kwa James.
Movie ikanoga, mara wakaanza kuwekeana miguu kila mmoja juu ya mwenzake, mara kushikana mikono, mara kukumbatiana, hatimaye kisses zikaanza, miguno ya raha ya mahaba ikaendelea kujikoleza, joto la mahaba likapanda na romance ikanoga na hatimaye wakajikuta wameingia ulimwengu mwingine wa kurusha kila nguo waliyovaa kusikujulikana, kilichoendelea Naamini unajua……
Asubuhi Nancy akajikuta kile amefanya si kile alipanga na akarudi kwao Kimara huku amejawa machozi na mawazo maana hata kupima walikuwa hawajaenda.
Siku iliyofuata ilikuwa Jumatatu Nancy akaamua kumpigia simu James na hakupokea na akaanza visababu.
James aliacha kumpigia simu Nancy na hata baada ya Nancy kulalamika na kuuliza kwa nini hapigi simu tofauti na nyuma kabla ya kupewa zabibu, James aliendelea kujibu utumbo kama si pumba.
Baada ya hapo James alipotea kabisa kwenye uso wa dunia na mbele ya macho ya Nancy kwa namna yoyote.
Kuona hivyo Nancy akaamua kupiga kiguu na njia hadi kwa James (Tegeta) na kwa kuwa hakutoa taarifa alichokikuta ni James yupo kifuani kwa mrembo mwingine.
Hadi hapo umenielewa dada Jane?
++++++++++++++++++++++++
Kwa asili wanaume huwa na respect ndogo sana kwa wanawake ambao wameshalala nao, so kama unataka ndoa kaa mbali na sex kabla ya ndoa
 
aaahhh wataalamu mmeeooonaaaa eeeehhhh sitaki nataka niko bikira mara eeeh mto wambu??
 
Mpe tu lakini si guarantee ya ndoa. Na kama ameingia kwa gear ya ndoa basi umeliwa. Na sijui umekulia maadili ya wapi ya kuomba ushauri wa kutenda tafauti na mila desturi pia imani za dini. ENJOY
 
GIRLS you are so funnnnn. I can believe this works only to a lady who didn't meet with a man before ( doing sex before).katika maisha yako umesha shiriki mapenzi na wanaume wengine sasa kwa nini huyu umwambie mpaka muoane? au kwasababu kakwambia anataka kukuoa ndo unataka kujifanya wewe mwaminifu sana? mbona Hao wengine walio wahi kusex na wewe hawakukuoa . Kwanza mnasubiri nini? si muoane sasa, hau hamna pesa za sherehe tuwachangie?
 
kwa hili somo na ikitokea watu wakalifuata kwa kuvumilia hadi siku ya kuwa na ndoa thabiti inayompendeza Mungu pamoja na kinadada wengi kuutambua utu wao wa kutokuchezea heshima yao, tungefika mbali.
 
mm ushauri wangu,,usifanye sex,,before marrige,, iwapo ni man wa kwanza kwako? bcz sex inaondoa uaminifu ,inaondoa love,pia anaweza kutoa kuoa kabisa,lakin mambo hayo yanaenda na maadili,vip umelelewa ,vip munavyo ishi,, ktk jamii yenu,na kidini pia
 
ikiwa man wa pili??aendelee kumbuka anaweza kuwa alianguka kwenye dhambi ya uzinzi akamgeukia Mungu unashaurije hapo
kwako mpwa?
 
We wa wapi wewe?! Yaani unauliza nyani kilimani......mpe uone!!! Akikutega we si unajifanya kama hauoni bana!
 
Kama ni BIKIRA sio vyema kufanya tendo hilo na mchumba wako. Kama siyn BIKIRA acha unafiki, ulishavunja mwiko, hao uliowapa mbona hukusubiri ndoa? Mpatie tunda sio lazima akuoe, akipenda atakuoa.
 
nimekumbuka nikiwa ujanani pale usdm binti mmoja tulipendana akadai na yeye bikira nikamwambia na mimi bikira ila tusaidiane kwenye shuguli
siku tunauuvvua ujana nikajifanya kupeleka pembeni na yeye akajifanya kupiga kelele polepole unaingiza sana nilicheka sana sana
niliporudi kati unalijua daraja la mto wami linapoanzia basi kina chakenilsikia gari aisimami ata niweke handbreak nikajua leo nimepatikana
badae nikamwambia aisee bikira yako ilikuwandefu aakaniambia ata yako ilikuwa nene nikacheka sana ilikuwa mara yangu yakwanza na ya mwisho kutembe na watoto wa mlimani...hall 4 kwa wale wapenzi wa ""DEO ""aka chabo mnaelewa hili jengo lililaaniwa kila anaeingia anabeba hii roho ya kuchunguliana na wengine leo wako mabosi wakubwa kwenye makampuni ukiambiwa walikuwa wanaweka madumu ya uchafu wanasimama na mbaya wanachana nyavu wakiona awaoni sawasawa
 
huyo mwanamme muongo,na huyo mwanamke kama ni bikira,bora aendelee kuitunza ila kwa upande mwengine,miezi 4 tayari wanaongelea uchumba?au huyo mwanamke nae anan'gan'gania ndoa?kun'gan'gania nako kubaya.au huyo jamaa nae kaingilia kwa njia hiyo?amwambie vitu ambavyo anajua vitamfurahisha huyo dada,ili apate anachokipata?.ila kwa upande mwengine,dunia ya leo wakaka wanapenda kuonja kwanza kabla ya mengine kufuata,wengine wakionja ndio huingia mitini,wengine wakionja,hunogewa
 
GIRLS you are so funnnnn. I can believe this works only to a lady who didn't meet with a man before ( doing sex before).katika maisha yako umesha shiriki mapenzi na wanaume wengine sasa kwa nini huyu umwambie mpaka muoane? au kwasababu kakwambia anataka kukuoa ndo unataka kujifanya wewe mwaminifu sana? mbona Hao wengine walio wahi kusex na wewe hawakukuoa . Kwanza mnasubiri nini? si muoane sasa, hau hamna pesa za sherehe tuwachangie?
kweli kabisa uo ndo ukweli ampe 2 hicho kibox
 
mm ushauri wangu,,usifanye sex,,before marrige,, iwapo ni man wa kwanza kwako? bcz sex inaondoa uaminifu ,inaondoa love,pia anaweza kutoa kuoa kabisa,lakin mambo hayo yanaenda na maadili,vip umelelewa ,vip munavyo ishi,, ktk jamii yenu,na kidini pia
tatzo lenu hamjiamin, unamapungufu gani ambayo akifanya na wewe sex atakuacha badala ya kukupenda zaidi.mbona wengine umewapa bila kinyongo,ilo tatzo laweza kukukost ata ndani ya ndoa.
 
nimekumbuka nikiwa ujanani pale usdm binti mmoja tulipendana akadai na yeye bikira nikamwambia na mimi bikira ila tusaidiane kwenye shugulisiku tunauuvvua ujana nikajifanya kupeleka pembeni na yeye akajifanya kupiga kelele polepole unaingiza sana nilicheka sana sananiliporudi kati unalijua daraja la mto wami linapoanzia basi kina chakenilsikia gari aisimami ata niweke handbreak nikajua leo nimepatikanabadae nikamwambia aisee bikira yako ilikuwandefu aakaniambia ata yako ilikuwa nene nikacheka sana ilikuwa mara yangu yakwanza na ya mwisho kutembe na watoto wa mlimani...hall 4 kwa wale wapenzi wa ""DEO ""aka chabo mnaelewa hili jengo lililaaniwa kila anaeingia anabeba hii roho ya kuchunguliana na wengine leo wako mabosi wakubwa kwenye makampuni ukiambiwa walikuwa wanaweka madumu ya uchafu wanasimama na mbaya wanachana nyavu wakiona awaoni sawasawa
we ni nouma, ata mm kuna bint kilasiku ananipigia sim ananiambia njoo unitoe bikira,yuko mkoa jirani na hapa nilipo.sijui nikienda nitaikuta au ni iyo ndefu.
 
kwa tathmini iliopo bikira zilizobakia hivi sasa zote ndefu so usishangae ukiingia unatafuta mlingoti wa kusimamia uuuoni yaani ni ngumu kupatikana
 
Umuonjeshe au la has nothing to do na kuoana. Kama kweli huyo mwanaume yupo seriously na kuoa,it doesnt matter ata kama ukimpa mambo kukuoa lazima kuwe palepale. Kuna mifano mingi ya walioanza kwa kuvunja amri ya6 na baadae wakajaoana na wengine kukimbiana kabisa baada ya hilo tendo. Dadangu today,the world has changed,and so merriage has no guarantee..........sina kabisa mifano ya watu waliokujaoana kabla ya kusigina amri ya6. Embu mpe huyo jamaako haki yake ya msingi ili kudumisha upendo btn u 2! Unajua,unamtesa sana! Mlambishe iyo sugar,na utamu wake hatouacha kamwe and hence marriage!
 
huyo mwanamme muongo,na huyo mwanamke kama ni bikira,bora aendelee kuitunza ila kwa upande mwengine,miezi 4 tayari wanaongelea uchumba?au huyo mwanamke nae anan'gan'gania ndoa?kun'gan'gania nako kubaya.au huyo jamaa nae kaingilia kwa njia hiyo?amwambie vitu ambavyo anajua vitamfurahisha huyo dada,ili apate anachokipata?.ila kwa upande mwengine,dunia ya leo wakaka wanapenda kuonja kwanza kabla ya mengine kufuata,wengine wakionja ndio huingia mitini,wengine wakionja,hunogewa

Sante kisukari,Mi nipo ktk category ya hiyo Red mark!
 
Back
Top Bottom