wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 577
- 900
Wakuu mbona mnairuka point ya wife kumtoroka jamaa akapambana kumrudisha tena,mwanamke kakuacha kwann ukomae kumrudisha.
Principle ni ile ile mapenzi ya mwanamke yakiisha kwako huwa hawawez kujificha so ulishaachwa kitambo kaka kaa nae mmalizane kila mtu afanye maisha yake we komaa na wanao tu