Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Umbea huo kwa nn ucmfndishe ww c unajua sana

magic nilijitahidi sana ila mara kwa mara nikawa naona maudhi yanaongezeka. Mim sio kama najua sana pia nilitaka tufundishane nae ila ikafika sehem nikashindwa
 
sun siamini kama najua naelewe kua ukweli umuweka mtu huru

duh mkuu ukweli gani sasa huo ? kuna lugha za kidiplomasia ungemwambia tujaribu hiki au mimi hupenda hiki zaidi wewe angekwambia hujui kweli ungeweza kuendelea na tendo vizuri ? By the way kujua is subjective wewe ukikutana na anadhani anajua zaidi akikwambia hujui au humridhishi utajisikiaje (je itakufanya ujue au uchukue tuituion) hata kama wewe utapuuzia binadamu tupo tofauti na maneno yanamu-affect mtu tofauti (na ubaya wa maneno hayana rewind hivyo ni bora kufikiri kabla ya kuongea) inawezekana ushamuharibia na kumpotezea confidence future girlfriend wa mtu... naomba mtafute umuombe msamaha na umconvice ulikuwa unatania
 
Sijui huyo dada alijisikiaje...itamfanya asijiamini tena kwenye mahusiano mengine

hata mimi mwanaume namchana tu live kuwa hajui ya nini kuachwa na shombo.
Haihuuuuuu hata kiduchu.
Mleta mada yupo sahihi kabisa kama msichana mjanja atajua afanye nini.
 
wote tunajua ukweli unauma.
 
hata mimi mwanaume namchana tu live kuwa hajui ya nini kuachwa na shombo.
Haihuuuuuu hata kiduchu.
Mleta mada yupo sahihi kabisa kama msichana mjanja atajua afanye nini.

Kwani wewe amu ulizaliwa unajua??si ulijifunza??kama ndo hivo utabadilisha wangapi??na kuna ubaya gani kumfundisha kama kweli unampenda?? unless unambie wewe ni dizain ya mzabzab hapendwi mtu migegedo tu
 
Last edited by a moderator:
Duh! Asara yako mkaka,yani ungekuaa hodari ungemfundisha halafu wewe ndio ungekua mjanja wake lakini inaonyesha na wewe pia hujui ndio mana umekuja kumsemaa mwenzio hapa,lakini ujue mwanamme alokamilika jambo Hilo kwake dogo sana tena,wewe umekurupuka huko kumwambia hajui nadhani wewe ndio hujui....
 
mara kumi ungemwacha tuuuuu umeonyesha dharau kubwa kwake atajuta sana kukubaliaaaaaaaaaa
 
hata mimi mwanaume namchana tu live kuwa hajui ya nini kuachwa na shombo.
Haihuuuuuu hata kiduchu.
Mleta mada yupo sahihi kabisa kama msichana mjanja atajua afanye nini.

hehehe! Tena unamwambia asikupake shombo na 'kinukta' chake. Lol!
Tuacheni utani bana, makavu ya live hasa kwenye malavidav yanaumajee!
 
Hajui nini?
Kwani we umejuaje? Ulizaliwa unajua? Kwanini usimfunze?

Kwani wewe amu ulizaliwa unajua??si ulijifunza??kama ndo hivo utabadilisha wangapi??na kuna ubaya gani kumfundisha kama kweli unampenda?? unless unambie wewe ni dizain ya mzabzab hapendwi mtu migegedo tu

ndo maana nikasema kuwa kama mjanja atajua afanyaje huyo anatakiwa afundwe afunzishwe na wamama au wadada wapi Madame B!!!!.
Ajiongeze mwenyewe bwana.
Ila for me mwanaume hujui kitu nakuacha kweupeeee sina mda wa kumfundisha mtu.
Na you know what am not mzabzab type.
Unatakiwa ujue mapungufu yako mtu.
Wapo kwenye starehe aanze kumfundisha sasa makungwi si watakufa na njaa??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…