Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Mkuu mapenzi cio ngo*no! Na huyo mrembo ulimtamani!! Ulitaka ukute ni kuruu! Alafu ulete thread kwamba nimekutana na mal*aya!,HUJAMTENDEA HAKI!, kwanza ulitakiwa uridhike na khali uliyokutana nayo,na kinachofuata unamtafakari! Baadaye unamuangiza darasani mwalimu akiwa wewe!!!, polepole atakufanyia hayo unayoyataka isiwe 0713,
 
Kumfuatilia kote huko kumbe ulichokuwa unataka ni hicho tu???
By the way.. Kama wewe wayajua ulimfundisha akashindwa kuelewa??

Wanchekesha!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sun najua yote hayo yanahitajika. Kwa mara ya kwanza au ya pili unaelewa kua hapa game waweza haribu wewe au yeye. Ila nilishindwa baada ya kuona sipati ninachostahili

Ukishapata unachostahili usisahau kupitia na angaza.. NoN sense!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Ha ha haa unajua sisi ambao tunajua kwamba hatujui sometimes ni bora kuliko wale ambao hawajui kwamba hawajui...

Anyway naamini there is always room for improvement hata kwa wale ma-don wa mapenzi kama alieleta uzi (na ameonyesha kwa kauli zake hata sisi tusiojua tunaona amekosea)
 

Mkuu kweli sikufanya fair ila ktk maisha ya kawaida tunaambiwa tufanye kile moyo unapenda na kuridhia. Nilimueleza kiustaarabu sana
 

mi namshauri amfundishe hayo maujuzi tu taratibuu fani itaeleweka.
 

sun siamini kama najua naelewe kua ukweli umuweka mtu huru
 

Umbea huo kwa nn ucmfndishe ww c unajua sana
 
kumbe ukijua kufua tu ndo unakua umejua mapenzi? Kazi ipo......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…