Specifically ambacho hakijui kwenye kufanya mapenzi ni kipi? Hajui kukatika? Hajui kuguna? Hajui denda? Hajui kupapasa? Hebu funguka kwa uwazi zaidi Bw. Noor.....
Mkuu nadhani wewe ndio hujui mapenzi..
Mapenzi yanainvolve akili, hisia, confidence na utayari hata wewe ukikosa confidence au ukiwa na uoga unadhani uta-perform mkuu ?
It takes two to Tango mkuu haya mambo sio rocket science ni kuvumiliana na kuelekezana
hajui kuhandle mwanaume, denda pia anasema hajazoea nikawa najaribu kufundisha ila nikaona nimwambie ukweli inaweza msaidia hata kwa mtu mwingine atakae kua nae
Hongera ww unajua..ila km ulimpenda nina hakika ungemfundisha..coz naamin hata ww hukuzaliwa unajua......
Mkuu nadhani wewe ndio hujui mapenzi..
Mapenzi yanainvolve akili, hisia, confidence na utayari hata wewe ukikosa confidence au ukiwa na uoga unadhani uta-perform mkuu ?
It takes two to Tango mkuu haya mambo sio rocket science ni kuvumiliana na kuelekezana
Specifically ambacho hakijui kwenye kufanya mapenzi ni kipi? Hajui kukatika? Hajui kuguna? Hajui denda? Hajui kupapasa? Hebu funguka kwa uwazi zaidi Bw. Noor.....
hamisi utasababisha tupelekwe jukwaa la wakubwa.
hajui kuhandle mwanaume, denda pia anasema hajazoea nikawa najaribu kufundisha ila nikaona nimwambie ukweli inaweza msaidia hata kwa mtu mwingine atakae kua nae
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja akanionjesha penzi lake sifichi hajui lolote na kutokana na hilo upendo wangu wote ukaisha ila nikana c vyema kumuacha kwenye mazingira ya kua kimya nikamwambia hanifai kwani HAJUI LOLOTE YUPO YUPO TU na mbaya zaidi hata akinifulia nguo naziona km hazijafuliwa. Je nilikosea?
Mwajei we unajua kufanya mapenzi?