Je, nimefanya busara kutomjibu sms yake au nimebugi ?

Kuna siku na mimi nitaanzisha uzi aka thread ya kukaa na njaa baada ya kutojiskia kula mchana halafu nitawauliza ma great thinkers kama nimafanya busara au vp??
 
Nalipenda sana hilo jibu maana nakua sina Guilty Conscious
 
Mi kuna mmoja aliniletea jeuri last year akasepa na kunitamkia hatuwezi kuwa pamoja wakati nilipanga awe was maisha nikasema Fresh!!!! Bi mdada isiwe ugomvi hapo ni baada ya 3 good years .

Baaada ya kupiga mwaka mzima nikiwa nimetulia tuli maana nilijua lazima atanitafuta tu atake asitake

Juzi kati si kanitafuta bana anadai kanimiss kweli na analalama kwanini nampotezea kiivyo heheheheheheh!!!

Nimejibu kiustarabu tu ila Niko makini nae sitaki kurudi huko.

Na uzuri namba zake nilifuta kitambo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom