Je, nimefanya busara kutomjibu sms yake au nimebugi ?

Si kweli. Daudi aliplan na kupractice ndio akamshinda goliat
Kama kweli kwanini aplan kumpiga na jiwe? kwa nini asingepanga palingi ya live na jibaba goliati? Kama una uwezo wa kupigana na mimi usiweke conditions eti mateke hairuhusiwi
 
Tatizo lipo kwako kwa kiasi kikubwa kwa kutafuta mbadala huku una mpenzi tayari.

Nikushauri tu kuaa daima kwenye mapenzi unachokifanya gizani huonekana kwenye namna unavyoishi na mpenzi wako. Hii ni saikolojia. Ukidhani huonekani kimwili kihisia utaonekana. Mpenzi wako kashajua ndiyo maana kakuaga.

USHAURI: Ondoka usimpotezee mwenzako muda. Masuala ya kujibu message ama kupokea hiyo si kazi yako tena wengine tutaifanya.
 
Kwanza wewe ni Mwanamke/Mwanaume? Kama ni Mwanamke labda uko sawa, lkn kama ni Mwanaume hauko sawa, kwani Mwanaume real siku zote huongoza kundi, na siyo kuongozwa, hivyo Mwanaume real hapo angechukuwa simu na kumpigia demu kuongea naye na kutatua tatizo, hivyo ndivyo real mean walivyo, kwani kwa kutokufanya hivyo ni kumpa nguvu Mwanamke na yeye ataamini kwamba wewe ni dhaifu na hauwezi kutatua matatizo kwani unanuna na kususa na hizo ni tabia ya watu dhaifu, na Wanawake kibaolojia/kihistoria hawapendi Wanaume dhaifu, hivyo atatafuta Mwanaume real na kukumwaga, hivyo kama kweli unampenda na hautaki kumpoteza, jirekebishe!
 
Umebugi meeen, hadi kuja kuanzisha huu uzi hapa umeshamkumbuka na kuanza kujisemesha kwake unaona soo. Yaonekana kama hapa umekuja kupata nguvu ya kujirudi.

Poleee.

Hapana sina nia ya kumtafuta sababu ameshanambia nakutakia maisha mema hivyo sina budi kuheshimu maamuzi yake, ikitokea amenitafuta ni yeye lakini sio mimi nimtafute sababu sipendi mtoto wa kike anione dhaifu.
 
Juzi nilikua nachati na mpenzi wangu kwa njia ya sms tukawa tunajadiri jambo fulani ambalo hatukupata solution ya moja kwa moja.

Mwenzangu alionekana kwamba hajakubalina na mimi na akaanza kunitupia lawama mwishowe akaandika sms iiyoishia na maneno "Nakutakia maisha mema"

Baada ya kunitumia ujumbe ulioishia na hayo maneno mimi sikujibu kitu nikapiga tu kimya kwa maana nimeshakubali matokeo hivyo sikuona sababu ya kumjibu ukizingatia kwamba tayari nilishapata mbadala wake bila ya yeye kujua baada ya kuona ananisumbua sana.

Je kukaa kimya bila kumjibu chochote nimefanya busara au nimekosea ?

Karibuni wataalam wa mambo ya mahusiano tupeane ushauri
Mkuu, We have unfinished business. Mitambo imegoma tuvute subira
 
Wakati nwingine wanawake huwa huwa wanawasha moto kwenye kichaka kilichoungana na msitu ili wajue huo moto utaishia wapi.? KAA KIMYA BAADA YA MDA ATAKUJA AKIWA AMEPIGA MAGOTI.
SMS TO ALL GIRLS/WOMEN
Kamwe usianzishe vita ambayo hutoweza kuipigana.Daudi alibahatisha tu kwa GOLIATI
Hahahaahaa.. huyu ni mimi sasa. Sema nashukuru ninaowatingishiaga kiberitiki vinakuaha havijajaa wanarudi.
 
Huo ndio uanaume wenyewe sasa.
Sio mwanaume unakua unalialia na kubembeleza watoto wa kike..
Dem akikwambia "mimi na wewe basi" wewe usimjibu chakufanya mblock whatsapp ,facebook,insta,txt za kawaida ,mpesa ,tigopesa, hadi NMB hapo unakuwa umetunza hadhi ya KIUME..

ukiendelea hivyo hivyo ntakupa ujumbe wa kamati kuu kwenye chama la kiumeni
Uuaji huo
 
Haahaha aki beep anapigiwa direct. Sipendag wanawake wenye kutishia au kutest . Ni mambo ya kitoto sana.. mm ikiwa givyo na red card inafuata. Sinaga muda mchafu
Wakati mwingine mtu anamaanisha muachane kweli. Ukikaa kimya ujue na yeye anakaa kimya mazima
 
Sijakataa. Ila wa hovyo ni wachache sana. Na kama alimuacha mchizi huku akijua kuwa anafanya jambo baya.. nafsi huwa inamsuta. Na hiyo kumtafuta ni ili kupata validation kwamba hajafanya kitu kibaya ..
Wakati mwingine mtu anamaanisha muachane kweli. Ukikaa kimya ujue na yeye anakaa kimya mazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom