Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

1. Fanya kitu ambacho una ujuzi nacho ili kuepuka kujaribu.
2. Biashara huwa inachukua muda mpaka kuanza kuona faida.
3. Ijue biashara unayotaka kuifanya nje ndani ili iwe rahisi kufanya
 
Habari,

Nina millioni moja mfuko wa shati naomba mwenye kujua niifungulie shughuli gani ili isiniponyoke ndugu zangu, niko Dar.

Tafadhali msaada wa mawazo
 
kilimo sio cha wenye hela ya mawazo kama yako hiyo
nakushauri fanya biashara
nb:isiwe biashara yakuoza
 
Back
Top Bottom