Je niende Arusha au aje Dar?

Je niende Arusha au aje Dar?

Naona kama mkutane Tanga tu ..kila mtu asiwe kwake
naijatwittersavages-20190701-0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna msichana nampenda sana japo tumepotezana kama miaka miwili yeye yupo arusha mimi nipo dar. sasa nikimcheki aje dar anadai mimi niende arusha. ila naona akija dar ndo nakuwa confortable kwan nakuwa kwangu kuliko kwenda arusha. ushaur4 wenu wandugu.
Mzee kwamba mmeshindwa kufikia makubaliano kwenye hilo dogo tu, je makubwa ya kwenye hayo mahusiano yenu mtayaweza?
 
Mpo wangapi kwenye hayo mahusiano? Watatu au wanne maana kama mwanamke anashindwa kukufuata huenda una mme mwenzio au anahofia kupoteza kazi
 
Back
Top Bottom