chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,146
- 2,338
- Thread starter
- #21
mamsi ni mtata bablaiM
Msanue uyo Mdarisalade avunge ukouko asijetuchukulia mamsi zetu za uku fas dwarara,tutamtoa kibati.
mamsi ni mtata bablaiM
Msanue uyo Mdarisalade avunge ukouko asijetuchukulia mamsi zetu za uku fas dwarara,tutamtoa kibati.
ahahah noma asee.yente yente bablai
yente yente bablai
kwa nini sasa kiongoziUkifika Arusha....Atazima simu...
Niamin.
si kweli mkuuMapenz ya 1st year hayo.. Utakua tuu
sawa kiongoziMsiambukizane corona tu lakini!!
pamoja mkuuMfuate ila usifikie kwake hata kwa ndumba. Fikia hotelini/ lodge nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu siku ikifika ya kuonana nistue nikufundishe jambosawa kiongozi
haina taabe.Halafu siku ikifika ya kuonana nistue nikufundishe jambo
Tanga au?kutaneni katikati
Nendeni Dubai au Chinakuna msichana nampenda sana japo tumepotezana kama miaka miwili yeye yupo arusha mimi nipo dar. sasa nikimcheki aje dar anadai mimi niende arusha. ila naona akija dar ndo nakuwa confortable kwan nakuwa kwangu kuliko kwenda arusha. ushaur4 wenu wandugu.

wengine wanajichetua tu sister