Je niende Arusha au aje Dar?

Je niende Arusha au aje Dar?

Yaani unataka tukushauri pa kwenda kutendea dhambi ya uzinzi?? Kijana oa uweke kitu yako karibu na wewe ili ukiihitaji usisafiri. Corona ipo na safari sio nzuri saana. Mtu awe na kisima chake cha maji mwenyewe au vp??
wapi nmeandika uzinzi
 
wapi nmeandika uzinzi
Unatufanya sote mazuzu?? Yaani usafiri toka darisalama hadi Ar kwenda kumwangalia uso tu na kurudi?? Au unatamani ashuke darisalama uje kumwangalia akiwa pale ubungo terminal arudi??
Kubali tu yaisha, mzinzi mkubwa weeee
 
mkuu kwamfano una ng'ombe jike unataka kumpandisha Je! dume hua anapelekwa alipo jike au jike hua analetwa alipo dume!?
 
Unatufanya sote mazuzu?? Yaani usafiri toka darisalama hadi Ar kwenda kumwangalia uso tu na kurudi?? Au unatamani ashuke darisalama uje kumwangalia akiwa pale ubungo terminal arudi??
Kubali tu yaisha, mzinzi mkubwa weeee
pamoja mkuu.
 
Back
Top Bottom